MMKJJ,
Asante kwa maswali yako mazuri na pertinent.
Hicho ulichokiuliza ndicho haswa MKUKUTA/NSGRP wanakiangalia chini ya Cluster 3 ON GOVERNANCE AND ACCOUNTABILITY ambayo ina outcomes zifuatazo:
1. Good governance and the rule of law are ensured
2. Strategic, responsible & trustworthy leaders and public servants in place
3. Democracy, political stability and social cohesion sustained
4. Economic governance enhanced
5. Peace, security and national unity enhanced
Pia ina goals zifuatazo:
Hii ina maana kuwa pasipokushughulikia utawala uwe bora usiokuwa na rushwa basi itakuwa ngumu sana kuuondoa umaskini.
- Structures and systems of governance as well as rule of law are democratic, participatory, accountable and inclusive
- Equitable allocation of resources with corruption effectively addressed
- Effective public service framework in place to provide foundation for service delivery improvement and poverty reduction
- Rights of poor and vulnerable groups are protected and promoted in the justice system
- Improved personal and material security, reduced crime, elimination of sexual abuse and domestic violence
- National cultural identities enhanced and promoted.
Swala hapa ni je, ni kwa kiwango kipi Governance and accountability imefanikiwa MKUKUTA I?
Kwa faida ya wale wasioelewa undani wa MKUKUTA:
MKUKUTA I ulianza 2005 basically mpango kabambe wa kuondoa umaskini na kutekeleza Malengo ya Millenium yaliyopitishwa na Umoja wa mataifa ambayo Tanzania nayo iliridhia.On MILLENIUM DEVELEOPMENT GOALS pls google ili upate undani wake zaidi.
Huu Mkukuta una Clusters 3:
Cluster I - Growth and Reduction of Income Poverty, - hapa ndio ukuzaji wa uchumi - sustainable broad based growth ina an equitable manner
Cluster II- Improvement of the Quality of Life and Social Well-Being - hapa sasa ndio mambo ya kupata huduma kama afya, elimu na kumuondelea mwananchi zahama za maisha ya kila siku aweze kuishi na kujikimu
Cluster 111: Governance and Accountability - hii inaangalia mfumo mzima wa utawala kwa maana ya taratibu, kanuni, mifumo ya utoaji haki pamoja na utawala wa sheria, ushiriki katika siasa, kuondoa rushwa, mambo ya security yaani usalama wa mtu na mali zake nk.
Kwa undani zaidi google upate the full document.
In short MKUKUTA au Mpango wa kuukuza Uchumi na Kuondoa Umaskini, ni mpango kabambe uliowekwa na serikali kama dira ya kupambana na umaskini wa nchi yetu uliokithiri.
Mpango huu awamu ya kwanza itaisha July 2010.Sasa hivi kuna kazi kubwa sna ya kuu review na kufanya maboresho ili MKUKUTA II uwe bora zaidi.Utaratibu unaotumika ni kushirikisha wataalamu na pia wananchi kwa ujumla.Kwa wale wenye kusikiliza redio au kuangalia TV mtaona matangazo kuhusu kupokea maoni na kuyawakilisha serikalini hata kupitia e-mail - mkukutamonitoring@gmail.com
Tutumie fursa hii ili tusiwe wapiga kelele tu humu JF bali tupeleke maoni yetu huko kunakohusika.
NDIO MAANA tuaangalia gaps kwenye MKUKUTA I maana MKUKUTA II utaangalia kujaza gaps nasio mambo mapya!Wenzenu washaanda Mkukuta II ninyi bado mnajadili Mkukuta I!
Mwanakijiji maoni ya Mkukuta I yashatolewa, yaliyopokelewa yashapokelewa na yaliyowekwa kapuni yashawekwa kapuni - wenzenu wanamalizia Mkukuta II na nasikia ule mhimili wa utawala bora na uwajibikaji washautoa eti uko ndani ya mihimili mingine!
WOS & OTHERS--ELIMU BORA KWANZA. Vinginevyo MKUKUTA II utakuwa ngonjera nyingine. Kwangu mimi 60% ya Gharama ya MKUKUTA wowote ule iende kwenye ELimu. NA PIA KATIKA MKUKUTA II Televisheni ienezwe mpaka vijijini na itumike kama njia kuu ya kutoa elimu husika kwa Wakulima na Watanzania wengine walio nje ya mfumo wa elimu kwa sasa. Bajeti ya Shilingi bilioni 30 kila mwaka itatusaidia sana katika kutumia Televisheni kama ZANA KUU YA KUWAELIMISHA WATANZANIA. Hebu jaribuni kufikiria impact yake kama haya majadiliano yote hapa JF kama pia yangekuwa yanapatikana kwa Watanzania kupitia Televisheni?
Wenzenu washaanda Mkukuta II ninyi bado mnajadili Mkukuta I!
Huu ni upotoshaji jamani. Mihimili yote mitatu ipo!
My friend..hebu twende taratibu tuelewane kwanza.Thibitisha kwa kuweka rasimu ya Mkukuta II! Mimi sielewei mnajadili nini wakati wenzenu wako kwenye Mchakato wa kupitisha Mkukuta II. Mkukuta I sasa ni Historia!
What is this Mkukuta stuff?
Its the stuff that will guide you to put your money where your mouth is as opposed to putting your mouth where your money is lol.What is this Mkukuta stuff?
Njia nzuri ya kuutathmini MKUKUTA ni kutumia taarifa rasmi za serikali na tafiti mbalimbali zilizofanywa kuhusiana na malengo ya mkakati huu. Kwanza ningependa kuwakumbusha ya kwamba MKUKUTA ni mwendelezo wa zile Poverty Reduction Strategy Papers zilizotakiwa kwa ajili ya misamaha na unafuu wa madeni kutoka kwa nchi washirika wa Paris Club.
Taarifa za kutusaidia kutoa maoni zipo nyingi tu kuanzia taarifa za mfumuko wa bei za NBS, hali ya uchumi ya mwaka (sasa zipo kwa kila robo mwaka mpaka 2009 Q1), taarifa za mwenendo wa uchumi kutoka BoT, PHDRs, ILFS, THMIS, DHS 2004 and 2009 (wakijisikia kuitoa), Household Budget Survey ya 2007, VoP 2007 etc.
Pia Kuna APRM, MAIRs,
Kuna michakato pia kama PAFs,PEPFAR,PERs n.k
Wasaidie baadhi kung'amua hivyo vifupisho, kwa kuanzia tu:
MAIR = MKUKUTA Annual Implementation Report
APRM = Afro Peer Review Mechanism (Yule Prof wao mwenye kuweka fedha za mradi katika akaunti binafsi yu wapi?)
PAF = Performance Assessment Frameworks
PEPFAR = Ile ya Ukimwi?
PERs = Public Expenditure Reviews
MTEF = Medium Term Expenditure Framework
Hizi taarifa watu wanaweza wakazi "Google" tu na watazipata.
Naomba kutoa rai kwamba ni vyema wananchi wakachangamka na kutoa maoni, tathmini na mawazo yao ili ingawa ya kwamba sio yote yatachukuliwa basi na wao watakuwa wameshiriki katika kujaribu kujenga taifa hili kwa fikra thabiti na si lawama tu kila wakati.
Better late than never compadres
Its the stuff that will guide you to put your money where your mouth is as opposed to putting your mouth where your money is lol.
Just read the thread starter and my subsequent posts..halafu google you will see its elaboration.