Mkufunzi (assessor) anamtaka mke wangu. Nifanyeje?

Mkufunzi (assessor) anamtaka mke wangu. Nifanyeje?

Patflax jr

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
72
Reaction score
1
Wapendwa wanauwanja leo nakuja hapa nikiwa na mawazo tele moyon mwangu na sababu kubwa ni kwamba:-

Mke wangu ni mwanachuo UDSM na kwa sasa yupo field ila wakat wa kupimwa ktk majaribio hayo ya ufundishaji, mkufunzi aliyekuja amechukua simu namba ya mke wangu kwa kisingizio kuwa atawajulisha cku ya kurud kwa ajili ya assessment ya pili, lakini cha ajabu ameanza kumsumbua mke wangu kwa kumtaka kimapenzi, na mbaya zaidi anamuambia atoke nje ya mji ili wakutane huko ila asimuage mtu yeyote na akamwambia mke wangu kuwa endapo atakaidi agizo hilo basi MATOKEO YAKE ANAYO MIKONONI MWAKE.

Wandugu, binafsi nimechukizwa na hali hii ndio maana nimekuja kwenu kuomba msaada wa kimawazo kuwa nifanye nini maana binafsi naona kila wazo linalonijia kichwani mwisho wake ni kufungwa gerezani
 
Mtegeeni mkiwa na globalpublishers aka waandishi wa Shigongo.
 
Kaka hapo nadhan nitakua cjatatua tatzo zaid ya kujidhalilisha na mke wng
 
Binafd nawaza hata nimchome kisu afie mbele ila huruma kwa mwanangu ambae bado ni mdogo
 
Sidhani kama ni mkeo!may be girlfriend,utanisamehe kama nimekosea,but mwanaume ambaye ameoa hawezi kuandika kihuni hivo like (cjatatua tatzo, mke wng, cm, nk!)
Buck to Topic yako,njia ya kumpata huyo ni rahisi, kila anapompigia au kutuma sms record hizo sms au maongezi,kisha panga na mkeo na baadhi ya watu wako wa karibu na PCCB (maana hiyo ni rushwa pia)mumtege na kumshikisha adabu,kisha mnamripot kwa chuo husika.the so called mkeo hatafeli na jamaa atatia adabu.
 
Huyo ni mkeo kweli?na we ni mwanaume au wa kiume(samahan lkn)nikiwa na mume ka wewe narudi kwetu hta talaka sintodai khaaaaaaA!!
 
Umeongea vjema mkuu. hizi tabia za wakufunzi za kuwataka wanafunzi kwa kisingizio cha matokeo nalo limeanza kuwa janga la kitaaluma, na inabidi likomeshwe mara moja!
Kwa upande mwengine ni kwamba hata hao mabinti nao wanachangia kutongozwa, kuvaa hovyo, kudekadeka, kujikaribisha kwa waalim pia haifai. kibaya zaidi wengi hawataki kusema kwamba wana waume au wana wachumba wao!!
 
Huyo ni mkeo kweli?na we ni mwanaume au wa kiume(samahan lkn)nikiwa na mume ka wewe narudi kwetu hta talaka sintodai khaaaaaaA!!

sorry, kwann unamwuliza hivyo? Inabidi tumpe ushauri yaweza kuwa amechanganyikiwa!
 
Huyo ni mkeo kweli?na we ni mwanaume au wa kiume(samahan lkn)nikiwa na mume ka wewe narudi kwetu hta talaka sintodai khaaaaaaA!!

najua waweza laum na kusema lolote! Ila dada'ngu tambu njia njema ya kutatua tatizo ni pale akili inapokuwa imetulia. La sivyo waweza chukua uamuz ambao utakuja kuujutia mbelen.
 
msitusingizie bwana wake na magf wenu ndo huwa wanajilengesha kwetu, wakiona mnaanza kushtuka wanajifanya kuwatonyeni ili wajikoshe. Angekuwa serious angekulengesha kwenye shughuli yenyewe ukamate live. Tafakari.....
 
kwani ataama na K ya mkeo....ivi mabinti wa chuo unawajua walivyo na njaa...kashapitiwa huyo..
La kufanya wewe ni kuchek nae afya tu..
 
Mkuu weka mtego, andaa mabounser kama watatu hivi akitinga ndani tu ya hiyo hotel huyo hawara yako ajidai yeye ndo anafunga mlango! Kabla jamaa hajatimiza haja zake mibounser inazama ndani na kumla tigo huyo jamaa huku wanampiga picha! Baada ya hapo hizo picha unazipeleka nyumbani kwake na kazini kwake! hakika hatakaa asarandie mahawara wa watu! na pengine ataomba uhamisho!
 
we kila siku unakula mwache na mwenzio ale kwani umeambiwa ataimaliza hiyo k.
 
ish uende gerezani kwa mke kutongozwa!?
we nawe!
hebu kakamaa kiume sawa!
kutongozwa sio issue saaana ,kwani huwa anakwambia wooote wanaomtongoza?
si kuna sms au umeshazifuta kuwa kuona aibu ya mkeo kutongozwa?
 
Huwa nashangaa kitu kimoja na huwa siamini, si rahisi mwanaume kumtongoza mwanamke kwa kutanguliza vitisho, inawezekana wapo ila ni wachache sana, SIO RAHISI MKUFUNZI KUMTONGOZA MTU ALAFU HAPO HAPO AKAMTAMKIA KUWA AKIKATAA ATAMFELISHA! Hapa ndio Napata mashaka na bandiko lako, kama mke wako ndio kakwambia hivyo jiulize mara mbili mbili. Inawezekana akawa amemtongoza kweli na mama hapendi ila ni yeye ndio anaogopa kufelishwa. Hajatamkiwa. Ila pia nikutoe wasiwasi mkuu, huwa si rahisi sana kwa mkufunzi kumfelisha mtu ambae amefaulu, Take my words, unaweza kumfelisha kweli ila ni ngumu sana kama amefaulu kiukweli na record zipo! Huwa ni woga wa watu tu.
 
ngoja niende jukwaa la siasa, nikatafute ban,
 
Back
Top Bottom