Mkude simba

Maserati

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
11,602
Reaction score
20,098
Jaman nachekeshwa sana na hv vtuko vya mkude simba jaman.hapa nmeskia moja et anaulzwa kuna makomando wangap nchn anasema kuna makomando wa2, komando jide na makomando walioimba kibaba baba...kwi kiw kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
 
Aisee mi huyo jamaa pia namkubali,sijui anaitwa nani hasa lakini anawezea,kuna hiyo ya Brazil ndo kali.
 
Yule mwanae Bwakila ni Mnyika
 
Jaman nachekeshwa sana na hv vtuko vya mkude simba jaman.hapa nmeskia moja et anaulzwa kuna makomando wangap nchn anasema kuna makomando wa2, komando jide na makomando walioimba kibaba baba...kwi kiw kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi

Teh teh teh
 
Jina lako weye kan'tangaze nimejikuta nacheka tu mwenyewe

Hivi huyu Mkude Simba ndio alitoa kichekesho cha mgonjwa kahamishiwa word ya Motuary harafu yeye kaenda Kijijini kutafuta dawa ya mgonjwa?:A S wink:
 
Last edited by a moderator:

Huyo huyooo
 
Last edited by a moderator:
Aisee mi huyo jamaa pia namkubali,sijui anaitwa nani hasa lakini anawezea,kuna hiyo ya Brazil ndo kali.

Mkude simba n mchekeshaj kitare.yaan hyo ya brazil ya derima anaeongea kisw n nomaaaaaaa ha ha ah aha aha ah
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…