Mkubwa na wanae

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
349107DD00000578-3608743-Out_with_mother_Both_mothers_care_for_the_cubs_of_which_there_se-m-35_1464184116776.jpg
 
Ha ha ha ha, vipi mto msimbazi kwa matope?
Yaani utadhani hao jamaa wa matopeni wanaumiliki Huo mto, maana wakati mvua inakuwa shida, sijui kuna mtu wao anafungulia maji ya mto Msimbazi yafike mtaa wa Twiga.
 
Ukimkurupusha hapo ndio utamjua Simba jike ni nani hasa anapokuwa na hao madogo.
 
Back
Top Bottom