Mkubwa Fella kugombea Urais wa Jamhuri 2040

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Mkubwa fella amesema anajipanga kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2040 atakapokua na umri wa miaka 60.

Fella kwa sasa ni diwani wa kata ya Kilungule, Halmashauri ya Mbagala Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: Bongo5.com
 
Mkubwa fella amesema anajipanga kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2040 atakapokua na umri wa miaka 60
fella kwa sasa ni diwani wa kata ya kilungule wilaya ya temeke dar es salaam

Mkubwa Fella ajipanga kugombea Urais mwaka 2040 – Bongo5.com

Urais Upi Labda?
  • Wa Wavuta Bangi / Bange?
  • Wa Kuwanyonya Wasanii?
  • Wa Wapiga Dili Za Unga Hapo Mjini?
  • Wa Wapenda Kutembea Na Wake Za Watu?
  • Wa Wanaoishi Kiujanja Ujanja Hapa Town?
Naomba Unisaidie Kumuuliza Ili Nijue Ili Kusudi Kama Ni Huu Huu Urais Wa Ukweli Ukweli Basi Tunaomjua Tuanze Kufunguka Mapema Kwani Kwa Hizi AJALI Za KAFARA, Magonjwa Ya ZIKA Na UKIMWI Na Huku KUROGANA Kwetu Watanzania KULIKOTUKUKA Pengine Huo Mwaka 2040 Tusiwepo!
 
naona mna mkashifu sana huyu jamaa bila kujua kuwa ni diwani sasa hivi, na anaweza akawa mbunge 2020 kwani ni mtu anayeweza kusimamia kazi kwa ufanisi sana
tafuteni historia yake kabla ya kuanza kumkashifu
 
Sasa hivi ana umri gani?.By the way big up mkubwa fella kwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Diamond Platinum.
 
Mkubwa fella amesema anajipanga kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2040 atakapokua na umri wa miaka 60.

Fella kwa sasa ni diwani wa kata ya Kilungule, Halmashauri ya Mbagala Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: Bongo5.com
Wewe dogo aslay au maromboso,atabaki kua rais wenu
 
Atakuwa Raisi baada ya Madee kumaliza awamu yake uRaisi wa Manzese...
 
Kaza buti mkubwa Fella hata waliowahi kukalia kiti hicho si malaika wala hawakushushwa toka mbinguni wana nyama na damu kama wewe. Mi naamini kama una nia pans njia maneno ya kukubeza yasikukatishe tamaa INAWEZEKANA.
 
naona mna mkashifu sana huyu jamaa bila kujua kuwa ni diwani sasa hivi, na anaweza akawa mbunge 2020 kwani ni mtu anayeweza kusimamia kazi kwa ufanisi sana
tafuteni historia yake kabla ya kuanza kumkashifu

Yaani bora hata usitafute hiyo historia yake, maana utakuja kugundua hata huo udiwani hafai.
 
Back
Top Bottom