cheeter JF-Expert Member Apr 19, 2011 475 155 Dec 12, 2013 #1 Mkosamali anasema serikali ushinda kesi chache tuu,na hivyo kupoteza fedha nyingi sana kuendesha tuhuma... Nini tatizo wewe unafiiri hapo?
Mkosamali anasema serikali ushinda kesi chache tuu,na hivyo kupoteza fedha nyingi sana kuendesha tuhuma... Nini tatizo wewe unafiiri hapo?
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,051 54,336 Dec 12, 2013 #2 Tatizo ni serikali yenyewe unadhani hao viongozi wetu wanakila namna ya biashara ambazo sio halari. Dawa za kulevya,biashara za kukwepa kodi,kutoa maelekezo cha kufanya hata kama jambo haliwahusu.
Tatizo ni serikali yenyewe unadhani hao viongozi wetu wanakila namna ya biashara ambazo sio halari. Dawa za kulevya,biashara za kukwepa kodi,kutoa maelekezo cha kufanya hata kama jambo haliwahusu.