Mkosamali live Bungeni.....

cheeter

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
475
155
Mkosamali anasema serikali ushinda kesi chache tuu,na hivyo kupoteza fedha nyingi sana kuendesha tuhuma...
Nini tatizo wewe unafiiri hapo?
 
Tatizo ni serikali yenyewe unadhani hao viongozi wetu wanakila namna ya biashara ambazo sio halari. Dawa za kulevya,biashara za kukwepa kodi,kutoa maelekezo cha kufanya hata kama jambo haliwahusu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom