Mkorogo!

Hivi ni mwanaume au mwanamke???


,,,,,Hilo ni PUNGA la mitaa ya Miembeni ZENJI,kila ijumaa linaburudisha kwa RAJU linaitwa SABRI KWAA,jamaa anafanya kila kitu ili awe MWANAMKE,ila sasa ndo haiwezekani bana.
 
Huyu jamaa ana bahati yuko Zenji. Angekuwa kwa Mugabe au Museveni angekiona cha mtema kuni!
 
Huyu jamaa atakuwa anapumuliwa sio siri!! Mkorogo, nywele hizo #idoubt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…