Mkorogo umedunda

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,538
15,740

10847852_10153355950507166_24982793619634289_n.jpg
 
"maji ya kisimo mkorogo umedundi..."...singing in Bambo's vocal
 
Kuna wengine wanajikoroga na utomvu wa mapapai mabichi. Urembo kazi kubwa sana.
 
Maeneo mengi ya congo na baadhi ya sehemu za zambia wanafanya sana hii kitu,
bila shaka na huyu ni wa pande hizo.
 
Back
Top Bottom