Mkorogo umedunda!

Bailly5

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
16,402
35,083
uploadfromtaptalk1459261251774.jpg
 
mkuu niulize mm nikuelezee...nina mchepuko wa kizaramo mmoja matata...kwanza kidogo nidhani hiyo picha yake ila ni hivi yeye hana kucha za hivyo!
Huo mchepuko wako wa kizaramo nae amejichubua kama kwenye hiyo picha duuuh.

Mtu ana rangi kama nne kwenye mwili sababu ya mkorogo
 
ndo hivyo mkuu na huwa anachukuaga maji ya betri kwenye kibajaji changu...mzuie sasa uone vita ya kizaramo...ni vita ya maneno tu lakini unaweza kuomba po...
 
Hahahahaha huo mchepuko wako ni noma aisee. Kwanini usimpotezee sasa
 
Duh! Rangi ya ngozi imefafana na rangi ya ndizi mzuzu za kuchoma.
Watu hawautaki uasilia.
 
Hahahahaha huo mchepuko wako ni noma aisee. Kwanini usimpotezee sasa
ndugu yangu weeeee...hata sijui nashindwaje...labda ndo nishakula 'kasungamile'...nikiwa peke yangu nawaza kuupiga kibuti vizuri ila nikikutana nao kwisha habari yangu!
 
Hahahaha kazi unayo aisee. Inawezekana pia umekula hiyo "kasungamile" ukiwa nae karibu unakuwa mpole
 
Back
Top Bottom