Nawezaje kujinasua kwenye huu mtego?

Nawezaje kujinasua kwenye huu mtego?

Solo Traveller

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,850
Reaction score
5,588
Wakuu natumia account ya Crdb bank, na hiyo account nilitumia kuomba mkopo kwaiyo Huwa wanakata moja kwa moja mara baada ya hela kuingia.

Sasa Kuna mtu anataka kunitumia hela kwa account hiyo nawezaje kukwepa hela isikatwe??

Mana inakatwa na mfumo nitumie njia gani hela hii isikatwe na mfumo kama kulipia deni?

Jinsi ya kuepuka boom advance
Kuna IT ameniambia nisaini saa sita usiku, mfumo unakuwa chini
 
Kwa hiyo unataka tukufundishe namna ya kukwepa deni ambalo unekopa???
 
Wakuu natumia account ya Crdb bank, na hiyo account nilitumia kuomba mkopo kwaiyo Huwa wanakata moja kwa moja mara baada ya hela kuingia.

Sasa Kuna mtu anataka kunitumia hela kwa account hiyo nawezaje kukwepa hela isikatwe??

Mana inakatwa na mfumo nitumie njia gani hela hii isikatwe na mfumo kama kulipia deni?
Unaweza kuepuka matatizo yote haya kwa kulipa deni.
 
Hapana haiwezekani kukopa tena nimefikia kikomo mkuu hiii ndio mara ya mwisho ndio maana nataka nisilipe ili nisitumie tena hiyo account
Kweli wewe ni Kuku maji... uaminifu ni kitu cha thamani sana jitahidi usipoteze uaminifu. Pia jua usipolipa huko mbeleni ni ngumu kukopesheka. Au una uhakika maishani mwaka hutakaa upate tena hitaji la kukopa? LIPA DENI kwa faida yako mwenyewe.
 
Hapana haiwezekani kukopa tena nimefikia kikomo mkuu hiii ndio mara ya mwisho ndio maana nataka nisilipe ili nisitumie tena hiyo account
Kwani umekatazwa kufungua acc nyengine ktk bank hiyo hiyo kama kuna umuhimu pesa ipite crdb?hao wamekukopesha bei gani,laki moja au?maana unashangaza hujui hata namna ya kufanya kwenye situation ndogo kama hii hata umenitia mashaka!

Jibunie acc yoyote ktk wanazozitangaza fungua fungu lipite pia utakuwa unapitishia magumashi yako mengine siku ukiwa na kimeo kwenye acc zako nyingine,kingine kwanini usiwalipe hela yao?uu ndugu yao wewe au mjomba wao hata usilipe?kuwa na utu lipa hela za watu.
 
Wakuu natumia account ya Crdb bank, na hiyo account nilitumia kuomba mkopo kwaiyo Huwa wanakata moja kwa moja mara baada ya hela kuingia.

Sasa Kuna mtu anataka kunitumia hela kwa account hiyo nawezaje kukwepa hela isikatwe??

Mana inakatwa na mfumo nitumie njia gani hela hii isikatwe na mfumo kama kulipia deni?
Tumia account ya Bank nyingine wachana na maswali yasiyowezekana.
 
Ngoja nikutumie akaunt yangu ya CRDB utaielekza hiyo hela kwangu me ntakurushia kwa njia ya lipa namba,

0152000076kjd07 jina monetary doctor kubwa la wajanja
 
Daa, hadi hilo unatuuliza wana jf!!
Anyway dawa ya deni kulipa no way.
 
Back
Top Bottom