We wa kiume au wa kike?
ndugu yangu nina nia yakukusaidia sana tu naomba ujibu maswali haya
1. ulihitimu elimu ya chuo gani (BA au BSc., Diproma, certificate, MA au MSc, au PhD)
2. Ulihitimu chuo gani na kozi gani
3.mwaka gani uliohitimu
ndugu yangu naomba unijibu nitakusaidia kwa kadri nitakavyoweza si lazima nikusaidie utakavyo bali nitakavyoweza kukusaidia.
Jamani mwenzenu toka nihitimu chuo sijapata kazi. Ila nimeamua kujiingiza kwenye ujasiriamali. Nataka kuendesha mradi wa internet cafe' ambapo ninahitaji kuwa na mil 3, nimeandika mchanganuo wa biashara hii. Ninaomba mtu yeyote jamvini hapa mwenye moyo wa huruma anisaidie kunikopesha hela hii nifanye biashara, ajira hakuna jamani. Nina uhakika wa kuirudisha hiyo fedha, na kama atahitaji wadhamini ninao wengi na wa uhakika. Tafadhari napatikana hapa 0786 046 484 au gagl2010@yahoo.com
ndugu yangu nina nia yakukusaidia sana tu naomba ujibu maswali haya
1. ulihitimu elimu ya chuo gani (BA au BSc., Diproma, certificate, MA au MSc, au PhD)
2. Ulihitimu chuo gani na kozi gani
3.mwaka gani uliohitimu
ndugu yangu naomba unijibu nitakusaidia kwa kadri nitakavyoweza si lazima nikusaidie utakavyo bali nitakavyoweza kukusaidia.
nashukuru kwa kunikosoa nimejifunza inaandikwa diploma na si diproma nashukuru sana mkuu! ingawa mhusika ujumbe amepata.Hapo kwenye Blue vp mkuu!!
Nimehitimu shahada ya sheria, mwaka 2009 chuo kikuu cha Tumaini kampasi ya Dar es Salaam.
Hata hii nayo kama haijakaa vizuri sana, yaani hivyo ndani ya mabano ndo vyuo gani?1. ulihitimu elimu ya chuo gani (BA au BSc., Diproma, certificate, MA au MSc, au PhD)
nimeandika kwenyemabano elimu zinazotolewa na vyuo tofauti mfano BA niHata hii nayo kama haijakaa vizuri sana, yaani hivyo ndani ya mabano ndo vyuo gani?
Huo ujasiriamali hauendani na taaluma uliyosomea yamkini ukachemsha na kushindwa kurudisha mkopo .Jaribu kufungua akili zaidi uende kwenye ujasiriamali ulioenda shule.Hata mie ticha wako nikikukuta hapo niseme kijana unaona mbali.Kwa ujumla wa Tz tunatakiwa kuamka na kuona kuwa mitaala ya elimu tuliyonayo haitusaidii kujiajiri bali kuajiriwa tuu.Shime vyombo vinavyohusika viandae mitaala yenye tija kwa walengwa zaidi kuliko Shahada za mapambo tu.