Mkopo wa riba nafuu

ARUSHA mpo office gani
 
Arusha mpo wapi
 
Dah,
Hata mahali tu mlipo mpaka PM??
Ni Biashara imesajiliwa ki halali kweli hii??
Hii biashara nimeanza kupatanayo mashaka.

Huenda kweli wanakopesha lakini nina uhakika kuna kitu wanaficha.

Sasa dawa yao ni kutuma vijana wa kazi wakachunguze compliance na mbinu ni rahisi tu, kujifanya wateja wanaotaka mkopo.
 
Riba tafadhali na processing cost za mkopo..mfano lnsurance fomu ya mkopo nk
 
Hii biashara nimeanza kupatanayo mashaka.

Huenda kweli wanakopesha lakini nina uhakika kuna kitu wanaficha.

Sasa dawa yao ni kutuma vijana wa kazi wakachunguze compliance na mbinu ni rahisi tu, kujifanya wateja wanaotaka mkopo.
maneno ya mkosaji karibu tupo Keko na Arusha
Au tupigie 0625142895
 
It's gud
 
Mambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…