Mkopo wa riba nafuu

Anza tu na wewe hujakatazwa au mtaji ndo shida??
 
Siku ukipata shida ya dharura na huna pa kushika ndo utajua kama huu ni wizi au ni mkombozi
Serikali inatambua mchango wetu ndo maana tunapewa leseni wewe unasema wizi
 
Hongera kwa kuweza kufanya transactions na verification kwa dakika 15

Ila ni nzuri hasa kwa wenye emergencies
 
Hivyo vielelezo kama naombs visa ya UK au USA
 
Hongera kwa kuweza kufanya transactions na verification kwa dakika 15

Ila ni nzuri hasa kwa wenye emergencies
Tumesaidia wengi sana wenye emergency na wametushukuru mno lakini mwingine humu anatuita wezi.

Unakuta mtu anauguliwa bima anayo ila mgonjwa wake kalazwa anatakiwa atoe elf 10 kila siku maybe mgonjwa kalazwa wiki tatu hiyo hela unafikiri kama hana ataitoa wapi?? Sisi ni mkombozi [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
I understand madam

Interest rate huwa inakua determined na vitu vingi mfano kwenye model hiyo lengo ni kusaidia kwenye emergency situations hivyó mikopo inakua na high risk. Hii inatokana na kutofanya due diligence ya kutosha so lazima upande wa pili kutakua na losses na zitakua zinafidiwa na hiyo riba.
All the best mkuu
 
Thanks Sir but am just a loan officer I don't own any share in this company
 
mnauliza riba kwani iyo 40% aliyoiweka si ndio riba someni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…