Mkopo wa riba nafuu

Kwa nini unataka kutuharibia jina?? Kama huna cha kuandika kwa nini usikae kimya kuliko kuandika uongo[emoji57]
Kwendraaaaa biashara unajiharibia mwenyewe unaficha riba kama waficha makalio kwani inahitaji siri!!!!! Kama ni siri usingeandika hapa
 
10% ila uwe mfanyakazi sio mjasiliamali
10% kwa mwezi???? au, jaribu kuwa professional kidogo kwa kutoa maelezo yaliyonyooka yaan mtu aelewe, humu kuna watu wako serious na utapata wateja wengi tuu. Mimi biashara zangu nafanyia humu kwa account tofauti na wateja wanapiga simu kila uchao ila ni kuwa specific sio kuzugazuga.
 
Kama 10% kwa mwenzi it means ni 120% kwa mwaka....yaan ukikopa 1,000,000 utalipa riba 1,200,000 kwa mwaka. Au utalipa jumla 2,200,000 ( mkopo+riba)
 
Kama 10% kwa mwenzi it means ni 120% kwa mwaka....yaan ukikopa 1,000,000 utalipa riba 1,200,000 kwa mwaka. Au utalipa jumla 2,200,000 ( mkopo+riba)
Hatutoi mkopo zaidi ya miezi 6 na riba yetu ni 40% kwa marejesho yote
 
Kwendraaaaa biashara unajiharibia mwenyewe unaficha riba kama waficha makalio kwani inahitaji siri!!!!! Kama ni siri usingeandika hapa
Kwa hiyo ulivyosema umekuja ulikuja lini na saa ngapi?? Au ulikua unatufuta kiki? Mxieee[emoji57]
 
Mtawapata tu.
 
Okay tuendelee basi make namie sina kazi
Enheee Kwahiyo kwa mwaka nalipa 120% dada afisa
Hapana mkuu, kwa miezi sita ukichukua million basi urudishe million 1.4 ndani ya miezi sita.Faida ni Tshs 400000. Mkiwa kumi mtu ana milioni zake 4 kama faida ndani ya miezi sita...Mkiwa ishirini mtu ana milioni zake 8 kama faida ndani ya miezi sita! Jamani huo si wizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…