Riba nafuu ndio kiasi ganiSEGUIN CREDIT INVESTMENTS
Inapenda kuwataarifu watumishi wa idara zote za serikali kuwa inatoa mikopo ifuatayo ndani ya dakika 15 tu:
a) Mikopo ya dharura
b) Mikopo ya mtaji au kupanua biashara
c) Ada za shule.
- Mikopo inayotolewa ni kuanzia Tsh 100,000 hadi 1,000,000 kwa riba nafuu sana.
- Muda wa marejesho ni kuanzia miezi mitatu hadi sita.
Fika ofsini kwetu Keko Dar au njoo PM kwa maelezo zaidi
Pm for more information
Hapo tu, anatangaza biashara halafu anasahau au kwa makusudi haweki riba?! Inaashiria nini?!riba ni % ngapi?
HapanaNimeipenda ID yako. Hiyo avatar ni wewe?
Hapana
Ili aprove kuwa wewe ni mtz ni mashart toshaMbona hujaweka masharti ya mkopo? Au kuwa tu Mtanzania ni kigezo tosha kupata mkopo?
Matusi sasa. inamaana unadharau wakulima?Kwanza hatukopeshi walima vitunguu
SEGUIN CREDIT INVESTMENTS
Inapenda kuwataarifu watumishi wa idara zote za serikali kuwa inatoa mikopo ifuatayo ndani ya dakika 15 tu:
a) Mikopo ya dharura
b) Mikopo ya mtaji au kupanua biashara
c) Ada za shule.
- Mikopo inayotolewa ni kuanzia Tsh 100,000 hadi 1,000,000 kwa riba nafuu sana.
- Muda wa marejesho ni kuanzia miezi mitatu hadi sita.
Fika ofsini kwetu Keko Dar au njoo PM kwa maelezo zaidi
Pm for more information
Ndio!!unakosa marketing skills kibao aaaaaghVipi mteja akionyesha kukebehi biashara yako inabidi umvumilie tu?
10% only kwa masharti nafuu sana
Usi judge kwa kuangalia upande mmoja je uliona jinsi hao wakulima walivyoniletea kejeli?Yaaan kanikera Huyu mleta uuzi et anawabagua wakulima n'a kuwashusha kwa lugha ambayo un professional hafai kabisa yaani
We ni bure tu hamna kitu...Usi judge kwa kuangalia upande mmoja je uliona jinsi hao wakulima walivyoniletea kejeli?
I choose to ignore youWe ni bure tu hamna kitu...
Usingeni qoute kbsa ningeona kweli umeni ignore kwa kufanya ivo umenzngatiaI choose to ignore you