Mkopo wa kujikimu PSPF

Mkopo wa kujikimu PSPF

Vitambulisho vya uanachama hawatoi
kazi kupiga porojo tu.
Ninaandika haya nikiwa na akili timamu.
Ukienda HQ kule posta kama sikosei....hakuna jipya
 
Hii mifuko ni majipu. Kuna cku nilikuwa apo HQ kwa shida zangu tofaut niliskia wakimwambia memba mmoja alietaka kupata mkopo wa kwenda shule eti aende uko shule kuchukua fomu afu akaandikishe mkopo benki walizokubaliana nazo wao afu benk itampa mkopo kwa riba ya benki (wao wanatoa guarantii kwa benk ikuamini), nilichoka mwenyew! Nawaona hawa jamaa ni majambawaz tofaut yao wanakaba mchana na kuvaa tai. Km uko dar watembelee pale posta mpya usisikie la kuambiwa.

Nimepapenda hapo pekundu patamu!!
 
Back
Top Bottom