Wanakata kwenye mshahara, riba nafikiri 13%Mi nataka kujua kama ukipata huo mkopo unaurejesha je? Ni kwamba unakuwa unakatwa kwenye mshaara au kwenye mafao yako?
Sijuh ni kwa muda gani lakini unakopeshwa mishahara wako wa miezi 3,kwahiyo unaweza kukokotoa ni muda gani utamaliza ukiongeza na riba.Hiyo ni LAPF lakiniunamuda gani kazi?
mkuu, hii mifuko ni majanga makubwa. hata mie niliwahi kwendapo PSPF nikakuta kitu hiki. haya majitu ni masengerema kuliko mnavyoweza kudhani.Hii mifuko ni majipu. Kuna cku nilikuwa apo HQ kwa shida zangu tofaut niliskia wakimwambia memba mmoja alietaka kupata mkopo wa kwenda shule eti aende uko shule kuchukua fomu afu akaandikishe mkopo benki walizokubaliana nazo wao afu benk itampa mkopo kwa riba ya benki (wao wanatoa guarantii kwa benk ikuamini), nilichoka mwenyew! Nawaona hawa jamaa ni majambawaz tofaut yao wanakaba mchana na kuvaa tai. Km uko dar watembelee pale posta mpya usisikie la kuambiwa.
huu mkopo ni wa kijinga na kipuuzi sana. kwanini hasa wanalazimisha kihivi? kule PSPF wanalazimisha watu wajiunge na benki ya posta. wajinga sana hawa wapuuzy!Wanakata kwenye mshahara, riba nafikiri 13%
Dah yani nmejikuta nmechoka,walijinad kwa mbwembwe sana.lakini je ni mfuko gani ambao angalau hauna usanii mwingi