....chalii skia,riba rahisi zaidi mjini ni 30%;hapo ni pamoja na dhamana!...piga hesabu kwa miezi miwili ungetakiwa kulipa kiasi gani,halafu unapewa 'ofa' ya laki 2 kwa laki 3 still unadengua!....elimu haijakukomboa kaaabisa;unataka uhongwe,ama?Una uhakika sijatafuta wateja kama hujui shida kaa kimya,unaweza kutafuta mteja na usipate mtu anakuja anakuambia nimuuzie TV na Radio kwa 200,000 wakati vyote vina thamani ya 700,000 sasa sijui utauza au unaamua kutafuta njia nyingine.
Wewe na ujinga wako unabadili lengo la post,mimi nilihitaji mkopo wa riba,sio kupewa bure,hakuna cha bure chini ya jua.
Endelea kuandika eti sina mgonjwa na tapeli ila tambua tayari yupo Dar kwa ajili ya matibabu.
Sichagui vya kujibu ili naona unaandika pumba tu na kujitapa kama huwezi kupata shida.
Wewe ni kichaa kweli na huna akili,hebu angalia vizuri mimi niliomba mkopo wa 200,000 na kurudisha 280,000 ni asilimia ngapi.....chalii skia,riba rahisi zaidi mjini ni 30%;hapo ni pamoja na dhamana!...piga hesabu kwa miezi miwili ungetakiwa kulipa kiasi gani,halafu unapewa 'ofa' ya laki 2 kwa laki 3 still unadengua!....elimu haijakukomboa kaaabisa;unataka uhongwe,ama?
..na ajabu watu walikuwa radhi kujitolea kukuchangia kile kidogo walicho nacho kiroho safi,eti unaringa usionekane una shida sana,unakomaa na mkopo kwa terms zako:UMEROGWA???
.....attacks zako nyingine juu yangu ni za kifala tu,hazinishughulishi!
.....teh hee hee..,una hasira!??Wewe ni kichaa kweli na huna akili,hebu angalia vizuri mimi niliomba mkopo wa 200,000 na kurudisha 280,000 ni asilimia ngapi.
Mimi najua ni asilimia za mikopo na niliomba kwa mwenye kuweza kutoa kwa asilimia hizo.
Wewe kubali ni kichaa kwani nani amekulazimisha kunipa mkopo na kuniletea ujinga wako kwenye post yangu.
Unafikiri kwa kutumia makalio.
Empty headed.
Mchawi mkubwa wewe,ipo siku utakumbuka ujinga wako,yaani umeamua kuonyesha jinsi ulivyo na akili finyu kwenye post yangu......teh hee hee..,una hasira!??
.unamkasirikia nani sasa;
.saga chupa ubwie basi!