Kivuyo A J
Member
- Feb 23, 2018
- 18
- 16
Wadau kuna kichwa cha habari nimeona leo kwenye gazeti la Nipashe kuhusu neema kwa wakopaji na waliokopa kupunguziwa, naombeni mnieleweshe kwa wale wataalam wa mambo ya mikopo.
Toa ushauri don[emoji41][emoji41][emoji41]