mkopo wa BAYPORT mnauonaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkopo wa BAYPORT mnauonaje?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Al shabab, Feb 16, 2012.

 1. Al shabab

  Al shabab Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nauliza hawa jamaa wanaaminika?kama uliwahi kopa kwao naomba taarifa pls!
   
 2. c

  cyruss Senior Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kuwa makini na mashirika madogomadogo yanayokopesha! kuna kesi nyingi sana zinatangazwa kwenye magezeti kuhususiana na udhulumaji wa hayo makapuni!
   
 3. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kampuni feki hizi mkuu.. Eti mkopo within 24 hrs??? Longolongo tupu halafu riba yao iko juu
   
 4. Al shabab

  Al shabab Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsanteni guyz,nimewapata.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  1.Finca
  2.Platnum Credit
  3.Blue Finance
  4.Easy Finance
  5.Bayport

  Waulize walimu watakwambiaaaa!!
   
 6. A

  Akiri JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  usije thubutu utalia kama mtoto ni wezi kwa kwenda mbele
   
 7. MANI

  MANI Platinum Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli mkuu wanawaonea sana walimu sijui ni kutokana na ufahamu wao mdogo!
   
 8. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watu mnalalamika bila kuwa na evidence.. Mnajua ni kwanini wana-riba kubwa.. Watanzania kibao hatuna utamaduni wa kukopa na kulipa.. Na ndio sababu ni vigumu sana kwa mwananchi wa kawaida kupata mkopo bank zenye riba afadhali..
  Tatizo si uelewa wa walimu.. Naomba jamaa aliyewatukana walimu ajaribu kufanya research ndogo sana.. Ndio atoe kauli hiyo..
   
 9. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hizi microfinance bayport, blue, platnam finka etc wanatoa mikopo kwa riba ya juu kwa sababu nao wanakopa bank ili wawakopeshe ninyi, ni kweli bayport ni wakweli within 24 hrs unapata aprovel ya mkopo wako, riba yao iko juu sana ila ukiwa na shida fasta unapata. binafsi sikushauri kama unakopesheka kwenye bank bora uende bank maana wateja wengi wanaokopa knye hizi micro finance ni wale wasio kopesheka tena bank.
   
 10. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  watanzania kila kitu mnaponda tu mara oooh ni kampuni ndogo ...
  mnajua kuwa bayport ni MNC company?
  BML: Home
  next time tujaribu kufanya research sio kutoa maoni kuhusu tusichokijua..
   
 11. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Sijakopa huko lakini kuwa makini sana hakuna mtu aliyekopa huko marambili

  Utaambiwa Riba ni 6% kumbe hiyo ni kila mwezi, Hivyo 72% kwa mwaka. Kama umekopa mkopo wa miaka 3 zidisha 72% mara tatu. Bora uende benki upigwe riba 20-22% kwa mwaka au jiunge na SACCOS.

  Kama utakopa tafadhali turudishie taarifa baada ya mwaka mmoja.
   
 12. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Be careful hapo utalipa riba more than 100%,unapewa 700,000/= mwisho unajikuta umelipa 1.9m.
   
 13. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  weeee,usithubu kabisaaaaaa,baypot,faidika,finca cjui na vinini vingne hovyo kbs,.mi nlikopa pale milioni moja tu mwaka 2008 yan mpaka sasa wanakata kwny mshahara sh 36 elfu na cjui ntamaliza lini,.nikifuatilia wananiambia bado kidogo,yan koma kbs usiende huko
   
 14. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tunazijua hizi Taasisi za Fedha hatubahatishi,tulikwisha fanya research ndio maana tu conclude moja kwa moja,mimi binafsi simshauri mtu kwenda huko,JINO KWA JINO NA DIDIA wamemalizia au kama na wewe huwaelewi denda katika ofisi zao na upate taarifa juu ya riba zao tena jifanye mjinga uliza tu nikikopa 700,000.00 narejesha ngapi,baada ya hapo fanya mahesabu ni asilimia ngapi utawafahamu.
   
 15. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ktk kampuni ambazo sitaki kuzisikia hadi naingia kaburini ni hao ulio wataja,mzazi wangu ni mwalimu,alikopa kwa hao jamaa kiasi cha laki 7,cha kushangaza hawa jamaa walikata pesa hadi ikafika jumla ya 2m na hata baada ya mda kufika wa kulipa deni wao waliendelea kukata hadi mkurugenzi aliingilia kati kwa kuwaandikia barua ya kusitisha makato.

  hawa jamaa achana nao kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hata kama unatatizo la kufa mtu ni bora uende kukopa kwa mtu laki kwa kulipa laki na nusu kuliko hao jamaa,utajuta kukopa
   
 16. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  naongeza
  6.FAIDIKA
  7.REAL PEOPLE
  Anayewajuwa wengine ongezea list hapa
   
 17. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Walimu bwana ni tatizo la kitaifa,na hawa jamaa ndio kimbilio lao huko, wakielewa kuwa hawana ufahamu wa mambo ya riba,ila sasa waliokopa mala moja hao walimu huwa hawarudi tena huko maana wanakuwa wamepewa somo kwa vitendo
   
 18. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,341
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Beyport ni kampuni ya mama Anna Mkapa na kweli ni wezi hata bungeni Mh. Ereasto Zambi alishatoa mararamiko yake lakini hakuna aliemsikiliza
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Aisee wanalia walimu kwa hao watu,wanaumiza mbayaaaa!!!
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hao Jamaa wameteka soko la walimu kweli,kila mwalimu kashachinjwa na hao watu!
   
Loading...