Mkopo wa 5M unahitajika

Mkopo wa 5M unahitajika

mwafutz

New Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
1
Reaction score
2
Mkopo binafsi wa TZS 5M unahitajika.

Marejesho yatakuwa ni 10M ndani ya miezi minne.

Dhamana ni kiwanja chenye Hati ya Serikali ya Mtaa kilichopo Tegeta, Salasala karibu na kwa Kombe wanapofyatua matofali kama mwendo wa dakika 5 hivi kwa mguu kutoka barabara ya rami inayokwenda IPITL chenye urefu wa mita 40.5 na upana wa mita 15.5.

Kiko pembeni ya barabara.

Mawasiliano 0658977330
 
Sema naweka gar na bruecard ake uone ka wapemba hawajaja

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Kiwanja chenye hati ya serikal ya mtaa?..unamaanisha hat ya aina gan hyo,ya mauziano ya kiwanja uliponunua ama?mim ninayo hyo hela,ni pm tuongee,kama tapeli ntakufunga,..na pia tutapeana hzo pesa mbele ya mwanasheria wangu,ila hyo hati heb ielezee vzur,au i screenshort unitumie,ni pm kwanza lakin tubadilishane namba
 
Mkopo binafsi wa TZS 5M unahitajika.

Marejesho yatakuwa ni 10M ndani ya miezi minne.

Dhamana ni kiwanja chenye Hati ya Serikali ya Mtaa kilichopo Tegeta, Salasala karibu na kwa Kombe wanapofyatua matofali kama mwendo wa dakika 5 hivi kwa mguu kutoka barabara ya rami inayokwenda IPITL chenye urefu wa mita 40.5 na upana wa mita 15.5.

Kiko pembeni ya barabara.

Mawasiliano 0658977330

Huku kunaitwa kuthubutu aisee!
 
D9 Club zinawadanganya sana watu.
Sikushauri
 
huyu mkopaji ni mjanja kuliko tunaotaka kumkopesha...

katutamanisha hela fasta fasta ili atupige...

hiyo dhamana yake hiyo changa la macho mambo ya kuuziwa simu chini ya mnara hayo
 
Back
Top Bottom