Mkopo PSSSF

Mkopo PSSSF

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
696
Reaction score
1,456
Wadau, naomba kujua kama ndugu ambaye ni mfanyakazi wa umma anaweza kukopa sehemu ya fedha zake kutoka PSSSF. Mpaka sasa amefanya kazi kwa muda wa miaka 21.
Ahsante.
 
Lengo la mifuko ya hifadhi ya jamii ni kukutunzia akiba ikutunze uzeeni. Mpaka inafikia hatua ya kutaka kukopa hiyo akiba maana yake kuna mikopo mingine umetumia na haijakutosha.

Haiwezekani na kama ingekuwa inawezekana hufai kupewa.
 
Hapo sawa.
 
Back
Top Bottom