BETWEL JACKSON
Senior Member
- Sep 19, 2015
- 117
- 7
Wakuu, mimi nilichaguliwa chuo cha MUCE lakini cha kushangaza nimepewa 25,000/= na sisi ni maskini wa kutupwa, nifanyeje,
(Usinitus Tafadhari)
(Usinitus Tafadhari)
Wakuu,mimi nilichaguliwa chuo cha MUCE lakini chakushangaza nimepewa 25000/= na sisi nimaskin wa kutupwa,nifanyeje,
(Usinitus Tafadhari)
wakuu,mimi nilichaguliwa chuo cha muce lakini chakushangaza nimepewa 25000/= na sisi nimaskin wa kutupwa,nifanyeje,
(usinitus tafadhari)
Hongera maana wapo ambao hawajapata hata kdg we hapo uko na uhakika was MA so jipange na hongera
Hahahaha
nunua crate moja ya safari lager ujipongeze. Au kama upo na kampani kubwa, hiyo hela inatosha kabisa kununulia crate mbili za eagle lager na balance itabaki!!
nunua crate moja ya safari lager ujipongeze. Au kama upo na kampani kubwa, hiyo hela inatosha kabisa kununulia crate mbili
Wakuu,mimi nilichaguliwa chuo cha MUCE lakini chakushangaza nimepewa 25000/= na sisi nimaskin wa kutupwa,nifanyeje,
(Usinitus Tafadhari)
kama ni kweli warudihie hela yaoWakuu,mimi nilichaguliwa chuo cha MUCE lakini chakushangaza nimepewa 25000/= na sisi nimaskin wa kutupwa,nifanyeje,
(Usinitus Tafadhari)
Hongera kwa kupata mkopo japo unauona na mdogo.
Mie nakusauli ufanya yafuatayo:- Kwa kuwa huo unaouita mkopo wa 25,000/- ni sehemu ya ada tu lakini mambo mengine kama accomodation, meal allowance na special faculty allowance vyote unapata kwa ukamilifu wake, basi hakikikisha unasave kutoka kwenye hayo mafungu kisha unajilipia ada na pengine unaweza kuwasaidia ata na wadogo zako wengine. Sie tunaotoka kwenye familia masikini na tunafahamu tulipotoka ndivyo tulivyokuwa tunafanya. Mie niliweza kumsomesha mdogo wangu sekondari ya binafsi kwa kufanya hivyo. Lakini wewe ukitaka kununua simu ya touch screen, TV, Fridge na kujirusha utadisco ata kabla shule haijaanza.
Nimekupa uzoefu wangu, kazi ni kwako!