Mkopo mkopo wa viwanja vilivyopimwa pamoja na matofali bila hata ya riba wala dhamana

Kingshakur

Member
Jul 17, 2017
7
3
Jenga leo kwakukopeshwa viwanja vilivyopimwa pamoja na matofali bila hata ya riba wala dhamana utaweza kulipa kidogo kidogo kadri unavyopata pesa ndani ya miezi 4 viwanja vipo kwenye maeneo mazuri ya ujenzi pia huduma muhimu zipo viwanja vipo Mbezi ya Kimara na Chanika bei kwa mbezi ya kimara nikuanzia mil 3;5 nakuendelea na Chanika bei nikuanzia mil 1;2 nakuendelea viwanja vipo vya vipo mbalimbali kulingana na mahitaji yako
[HASHTAG]#0679570897[/HASHTAG]
 
Ukubwa wa viwanja vya mbezi upoje? Hati zipo?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
20 kwa 20 mkuu ni uchafuzi wa mazingira tu,
viwanja vidogo vidogo hivyo vya nini? umeambiwa tunajenga zizi?
 
Back
Top Bottom