Mkopo kwa Continuos Students huwa unabadilika?

Kawaida GPA ya kuanzia 2.0 unarudishiwa mkopo wote (kwa UDOM) ,GPA ya 1.8-1.9 lazma upunguziwe au kunyimwa kabisa ikiwa umepata gpa ya 2+ na umekatwa pesa ndo sjui labda wamepandisha cutt points.
hyo GPA kubwa ni kwanzia ngapi??
 
Si kweli mkuu, first year me nlipata SUP moja na Carryover moja na nlikuwa na GPA ya 2.8 lakn mkopo ulirudi 100% pesa za field, special faculty na books and stationery labda Kama mwaka huu wamebadili
Zinapunguzwa sababu unavyopata sup bodi wanaona haupo serious
 
Si kweli mkuu, first year me nlipata SUP moja na Carryover moja na nlikuwa na GPA ya 2.8 lakn mkopo ulirudi 100% pesa za field, special faculty na books and stationery labda Kama mwaka huu wamebadili
sema wameamua kubadili mambo yao GPA sio tatizo sana
 
Kawaida GPA ya kuanzia 2.0 unarudishiwa mkopo wote (kwa UDOM) ,GPA ya 1.8-1.9 lazma upunguziwe au kunyimwa kabisa ikiwa umepata gpa ya 2+ na umekatwa pesa ndo sjui labda wamepandisha cutt points.
duuh mwaka huu sasa sijui wanavigezo gani maana wengi wanalalamika kupunguziwa allocation zao, huku wengine ada imeondolew kbsa ikaachwa boom tu duh
 
Back
Top Bottom