mkopo bank-security hati ya nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkopo bank-security hati ya nyumba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by nasri, Mar 19, 2011.

 1. n

  nasri Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  [​IMG] mkopo bank-security hati ya nyumba

  habari ya asubuhu wanajamii wenzangu!
  Naomba mnisaidie mawazo, je nyumba yenye thaman ya mil 40, unaweza ukapata mkopo wa kiasi gani bank kwa kutumia hati kama security! ​
   
 2. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ndugu hbr yako. kuhusu kupata mkopo nashauri wasiliana na Commercial Bank of Africa au Azania Bank. Nami naomba msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba kwa haraka, nipo tabata kisukulu. waweza kunipa jibu kupitia chrisjohnjune@gmil.com
   
 3. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  many bank offer 70 or 75 percent of the property value. So for property value of 40ml you will be able to take loan of 28ml or 30ml. U will get the loan after carryingout valuation which is done by valuer and checked by loan officer.
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  na kwa mfumo wa mabenki yetu riba kubwa,kutokua na mazingira mazuri ya biashara hiyo nyumba wataiuza tuu,labda uwe unalipa kwa mshahara mpaka ustaafu kazi!
   
 5. G

  Godwine JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  mbali na thamani ya nyumba pia wanaangalia maeneo ilipo unaweza kuwa na jengo la thamani ya mil 500 lakini kijijini wanaweza wakagoma kukupa fedha nyingi kuliko mwenye nyumba ya thamani ya mil 100 aliyeko buguruni hii ni kwasababu ukishindwa kulipa wanaangalia uraisi wa kuuza dhamana ulioweka
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Pia usisahau security is not enough also repayment ability either 1/3 ya salary iko fresh au ana business Turnover nzuri. Kama una nyumba na unahitaji mkopo ila huna mshahara mzuri au busnez turnover ya ukweli you can offer it to person with gud busnes turover yeye akaitumia kama 3rd part wewe uka consent then akakupa up to 35% ya loan na wewe ukafaidika. Ila sasa aki default hio loan ur house is gone
   
 7. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,824
  Likes Received: 2,765
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya kuweka kwa mtu tena usimshauri kabisa! Huyo mtu atakuwa na uchungu gani na hiyo dhamana uliyowekesha? Si huo ndo mwanzo wa kupoteza nyumba na kurudi kwenye upangaji?!!
   
 8. babalao

  babalao Forum Spammer

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hawaangalii nyumba na hati kwanza wanaangalia unafanya biashara gani na jee unaweza kulipa ndipo wanakuuliza kama una hati na nyumba
   
 9. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Jamani mbona naona kama unataka kuiuza nyumba yako? Huoneshi kama una dhamira ya dhati kulipa deni. Tuambie kuhusu aina za biashara ufanyazo na mzunguko wako wa fedha.
   
 10. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Mpenzi mbona kimya sana?
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hivi hili jukwaa gani vile..
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  aah Nazjaz.........vijimambo tu hivyo; kwani hujawahi itwaa hivyo na ofisi mate?
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mm huwa naitwa ivyo na bed mate wangu
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  nasikia eti mkopo ni nusu ya kuuza
   
Loading...