Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,464
- 4,736
Kama vipi Bank inunue tu hiyo Nyumba wampe hiyo 250 apanue biashara yake.
Wanainunua kwa hati ipi wakati ulishaambiwa imepoteaKama vipi Bank inunue tu hiyo Nyumba wampe hiyo 250 apanue biashara yake.
ikiwa hawajajiuzia hiyo nyumba basi huo ni uzembe mkubwa kwa benki na inafaa wakomeshwe ili wawe waangalifu.Dah, pesa inasakwa kwa kila njia,mwamba anaisakanya kinguvu
Kabisa kinachofuata ni kupoteza pesa za watejaNi uzembe kiukweli. Hivi taasisi kama hiyo tutaiamini vipi na pesa zetu? red flag kubwa sana aisee.