Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 8,569
- 2,068
Jamaa alikatika mkono mmoja, akaona maisha yanakuwa magumu. Akapanda ghorofani ajitupe chini. Kabla hajajitupa akamuona jamaa hana mikono yote miwili akirukaruka kwa furaha. Akamuuliza 'mbona unaruka kwa furaha wakati huna mikono yote? Jamaa akajibu ''Furaha wapi, hapa M K U N D U unawasha nashindwa kujikuna!!!'