Mkono

Mkono

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,093
Reaction score
2,604
Jamaa alikatika mkono mmoja, akaona maisha yanakuwa magumu. Akapanda ghorofani ajitupe chini. Kabla hajajitupa akamuona jamaa hana mikono yote miwili akirukaruka kwa furaha. Akamuuliza 'mbona unaruka kwa furaha wakati huna mikono yote? Jamaa akajibu ''Furaha wapi, hapa M K U N D U unawasha nashindwa kujikuna!!!'
 
anapenda kula kulala? nheeee
 
Ha ha ha ha ha! Uwiii! Sina mbavu jamani.... Hiyo kuliko zote.. Jf ts noma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom