Mkono wa kushoto vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkono wa kushoto vipi?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Mar 11, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,514
  Trophy Points: 280
  nilihadithiwa kuwa malkia alishawahi kumpa nyerere mkono akiwa amevaa gloves Nyerere akampa kirungu/kifimbo
  d3vam.jpg
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,471
  Likes Received: 4,744
  Trophy Points: 280
  Wakati huo ilikuwa siasa ya ujamaa na KUJITEGEMEA
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Jamii photo bana...........every thing is posibooooooooo
   
 4. sister

  sister JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,933
  Trophy Points: 280
  ndo mkono uliokuwa karibu
   
 5. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Njaa mbaya,utashika popote.
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  wazungu,kwao ukimpa mkono hawajali kama ni wa kushoto au wa kulia.hata ukinunua kitu,ukitoa hela kwa mkono wowote ule kwao ni sawa tu
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ukiolewa shurti usivae pichu kwa bed!!! Bush ameonyesha mazereo sana kwa prezo!!
   
 8. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Alimpa kifimbo... yes that is true...:lol::lol:
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huyu Bush 43 mkono wake wa kushoto ndio anaofanyia kila kitu[ left handed] kwahiyo ni rahisi kwake kumpa mtu mkono wa kushoto kuliko wa kulia!! Nyie wadanganyika acheni tafsiri zenu za hovyo ndio maana kazi yenu kucheka cheka tu!!
   
 10. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni ishara ya dharau inayotolewa kwa ombaomba.
   
 11. Kinyerezi

  Kinyerezi JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  :thinking: Kweli??? ndiyo maana tumejumuishwa wadanganyika wote
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Freemasons utawajua tu.
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kama prezidaa wao anavochekacheka!
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkono is nothing bana!
   
 15. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Unapokuwa free unaweza hata kumpa mtu mguu aushike
   
 16. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bush kanuna kwamba jamaa ni msumbufu wakati jamaa anacheka

  Two contrasting things
   
 17. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Queen ni natural born left handed hivyo ukisalimiana nae lazima ule mkono wa kushoto ila kwa fikra zetu za kimaskini ukipewa mkono wa kushoto umedharauliwa hivyo ticha Nyerere nae aliona kadharauliwa.. Mudhihir Mudhihir nae ni natural born left handed kapata ajali now he is left with his left hand kwa hiyo kibongobongo mnataka awasalimie vipi?? Kwa mguu wa kulia au?? Kingine Bush huyu sio left handed baba yake ndio left handed ametoa mkono wa kushoto sababu ya urahisi na asiStress mkao wake..
   
 18. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Acheni bias za ajabu ndio maana tunakufa maskini kwa kuwa na mawazo mgando kama yako..
   
 19. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wale wale.. Kushabikia mambo wasiyofahamu.. Kwa kifupi I hate this kind of cr*p kwa sababu tu mtu yuko tofauti na wewe mnaweka Bias za ajabu.. Kwa hiyo ukitumia mkono wa kushot freemason?? What the heck!! Thought hii forum for great thinkers na sio thinkers.. Wake up!!
   
 20. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Bora na yeye angemgotea dala ingekua droo.
   
Loading...