Mkono wa kushoto vipi?

Next time utakaposawalimu wazazi wako tumia mkono wa kushoto.

Nawasalimia wazazi wangu na mkono wowote sijawahi hata siku moja kuona mmoja wao anaumwa au amepata matatizo kutokana na mimi kumpa mkono wa kushoto.. Yah! kama mzazi bado yuko pangoni kifikra akakumaindi tu...
 
It is a sign of respect and nothing more.
 
Ukitaka kumtawala mtu kirahisi tawala kwanza utamaduni wake
Huu ni utamaduni wetu, na tumekuwa tukifunndishwa adabu na utii toka kwa wazazi kuhusu matumizi ya mikono. Kwahiyo kwenu kuchambia mkono wowote ni sawa tu, kutumia mkono wowote kumega tonge la ugali ni sawa tu, ukiamua kula chakula kwa mkono wowote ni sawa tu!! shame on you
Mmetawaliwa mpaka kwa utamaduni wenu. Mimi nimekuzwa kwa kujua ukipewa kitu pokea kwa mikono miwili, kisha shukuru (asante baba, mama, kaka, n.k), huwezi kuongea wakati unakula, hasa wakiwapo wakubwa (wanaokuzidi) hiyo ni table manners, huwezi kuwa wakwanza kupakua chakula mezani, huwezi kuanza kunawa mikono, au unamaliza kula na kunyanyuka unaondoka wakati wakubwa bado wanakula.
Sasa kwa ujinga wenu na kufuata ya hawa wajinga wazungu mnafikiri ndo maendeleo, haya bana fuateni lakini muwe na uhakika mnaharibu utamaduni wenu wenyewe. Utamaduni wao ni sawa, lakini wa kwenu ni wa kishenzi!! utamaduni wao ni ustaarabu (civilization) utamaduni wenu ni ushenzi (barbaig)
Kazi tunayo waalimu huku vyuoni, zamani kuona ****** inabidi utoe chupi, sikuhizi kuona chupi inabidi utanue ******
 
Nakula kwa mkono wa kushoto, namega tonge kwa mkono wa kushoto, naandika kwa kushoto, napokea kwa mkono wa kushoto hutaki unaacha.. Pole kwa kukulia kwenye familia iliyokutengenezea inferiority complex kwa kuita mtaji wa adabu na utamaduni hope hutofanya hivyo kwa wanao.. Niambie jamii gani ya Tanzania ilikuwa inawatenga mashoto kabla ya kuja kwa dini zenu hizo zilizoleta stori kuwa ni mkono wa shetani na haramu kuutumia kwenye kula na kusalimia watu??? Western religions brought all this sh*t.. Nearly all my late grand fathers ( am talking since 1800's here to present) were left handed na hawakuwa na habari ya kuClass au kuLimit mtu kwa mkono anaotumia na mimi pia na mdogo wangu tumezaliwa left handed na huo upuuzi kwetu sijaukuta am using my left hand since day one mpaka kunako kifo, for ousiders it's strange and we don't give a sh*t ni maisha yetu..

Culture is a powerful human tool for survival, but it is a fragile phenomenon. It is constantly changing and easily lost because
it exists only in our minds. Our written languages, governments, buildings, and other man-made things are merely the products of culture. They are not culture in themselves.
Edward B. Tylor (1832-1917)
 
Wale wale.. Kushabikia mambo wasiyofahamu.. Kwa kifupi I hate this kind of cr*p kwa sababu tu mtu yuko tofauti na wewe mnaweka Bias za ajabu.. Kwa hiyo ukitumia mkono wa kushot freemason?? What the heck!! Thought hii forum for great thinkers na sio thinkers.. Wake up!!

Unajua nini Bosi Michembe, unapobisha kitu jitahidi kubisha kitu unachokifahamu vizuri maana unaweza kujikuta ukionekana mpumbavu kwa kubisha kitu usichokifahamu. Nakushauri nenda kwanza ukatafute na usome kwa makini kuhusu hawa freemasons kabla ya kubisha halafu ukishamaliza ndio uje hapa kubisha. Just go on google and search everyhting about freemasons including their signs na watu maarufu ambao ni freemasons. Sawa mkuu?
 
Last edited by a moderator:

So ukitumia mkono wa kushoto automatically ni free mason or whatever it is?? I am left handed naturally so am I automatically a free mason?? Kwa hiyo Obama na Cameroun ambao ni mashoto automatically ni freemason?? Ebu nieleweshe mkuu.. Hao wanaotajwa as freemasons wamewahi kwenda on public kukubali au ndio assumptions kuwa flani freemason sababu tu kaonyesha sign flani?? Why should I google search kitu nnachoona ni riwaya ya tu na nisichotambua uwepo wake. The ishu kama umesoma heading ni mkono wa kushoto...
 
Ndio maana nikakwambia mkuu kasome kwanza kila kitu kuhusu freemason kabla ya kusema chochote. Mimi nakwambia kwa sababu nimesoma na ninafahamu. Sasa na wewe pia nenda kasome ufahamu halafu ndio tuje tubishane. Sawa mkuu?
 
Hatubishani it's just I am too old to believe in fairy tales mkuu hivyo let's just skip the freemason part. let's just talk about vitu logical kidogo vinavyoendana na uzi huu, lets say jinsi ya kumlea mtoto anaetumia mkono wa kushoto akue katika mazingira mazuri asijione tofauti na wenzake na awe huru kisaikolojia, mawasiliano na walimu nk. I think this very important kwa wellbeing ya mtoto ingawa tunachukulia kitu cha kawaida katika jamii zetu..
 
wazungu,kwao ukimpa mkono hawajali kama ni wa kushoto au wa kulia.hata ukinunua kitu,ukitoa hela kwa mkono wowote ule kwao ni sawa tu

Hivi kuna sehemu huwa wanaangalia umetoa hela kwa mkono gani after kununua kitu? Maana mi siku zote huwa nahold wallet kulia nachomoa hela kushoto..:wink2:
 
wazungu,kwao ukimpa mkono hawajali kama ni wa kushoto au wa kulia.hata ukinunua kitu,ukitoa hela kwa mkono wowote ule kwao ni sawa tu

lakini hao hao wazungu wanamuita jamaa 'muzungu' worshiper!
 
Ukitaka kumtawala mtu kirahisi tawala kwanza utamaduni wake
Huu ni utamaduni wetu, na tumekuwa tukifunndishwa adabu na utii toka kwa wazazi kuhusu matumizi ya mikono. Kwahiyo kwenu kuchambia mkono wowote ni sawa tu, kutumia mkono wowote kumega tonge la ugali ni sawa tu, ukiamua kula chakula kwa mkono wowote ni sawa tu!! shame on you
Mmetawaliwa mpaka kwa utamaduni wenu. Mimi nimekuzwa kwa kujua ukipewa kitu pokea kwa mikono miwili, kisha shukuru (asante baba, mama, kaka, n.k), huwezi kuongea wakati unakula, hasa wakiwapo wakubwa (wanaokuzidi) hiyo ni table manners, huwezi kuwa wakwanza kupakua chakula mezani, huwezi kuanza kunawa mikono, au unamaliza kula na kunyanyuka unaondoka wakati wakubwa bado wanakula.
Sasa kwa ujinga wenu na kufuata ya hawa wajinga wazungu mnafikiri ndo maendeleo, haya bana fuateni lakini muwe na uhakika mnaharibu utamaduni wenu wenyewe. Utamaduni wao ni sawa, lakini wa kwenu ni wa kishenzi!! utamaduni wao ni ustaarabu (civilization) utamaduni wenu ni ushenzi (barbaig)
Kazi tunayo waalimu huku vyuoni, zamani kuona ****** inabidi utoe chupi, sikuhizi kuona chupi inabidi utanue ******
.Naunga 99%
 
Alimpa kifimbo... yes that is true...:lol::lol:

Hizo ni simulizi za Watanzania. Malkia Elizabeth siku zote huvaa gloves na anawasalimia watu wote akiwa amezivaa. Ni mara ngapi Nyerere amesalimiana na Queen? Mara nyingi mno!
 
Haya ni mambo madogo yasiyotaka mjadala kwa watu makini. mkono ni mkono 2, kushoto na kulia ni direction 2
 
Back
Top Bottom