kabiriga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 1,163
- 1,214
kati ya vitu ambavyo vimepigiwa upatu na kelele nyingi juu ya kukua kwa mawasiliano (TEHAMA)nchini na wengine kwenda mbali zaidi kusema Tanzania kitakuwa kitovu cha mawsiliano kati ya nchi za Africa mashariki.Lakini mimi sioni jitihada na dhamira ya kweli kwa wahusika,kwani mkongo wa mawasiliano ambao walisema ndo kitakuwachanzo ,sioni kufana kazi bali blabla nyingi.nimeenda kuuliza TTCL kampuni iliyopewa dhamana yakusimamia mkongo huo ,hakuna majibu ya kueleweka,kwani awajui kinachoendelea zaidi ya kusema tunangoja serikali.