Mkongo wa taifa wa Mawasiliano

Mkongo wa taifa wa Mawasiliano

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
huu mkongo wa taifa wa
mawasiliano je umeanza
kutumika?
Kama ndio kuna tofauti gan na
mwanzo kabla haujaanza
kutumika!
Wanaofaham watujuze!!
 
Mimi kwa uzoefu wangu wa miaka hii ya kuishi sijaona gharama(price) zina drop hata kama supply imeongezeka!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata supply yenyewe haileweki bali ni wizi mtupu.
 
umeanza plan ya serikali ni kujenga ring topology kuzunguka nchi nzima sina uhakika kama wamemaliza installation,ila construction yake inaendelea.
 
Swali Zuri Kweli. Nami Nashangaa kwani huwezi amini katika zama hizi za Uwazi TTCL Broadband(wired) wanauza 2GB kwa
Tsh30,000. Huu Ni wizi wa Mchana. ipi sasa faida ya huo Mkonga?
 
Back
Top Bottom