CompaQ JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 281 Reaction score 134 Mar 26, 2013 #1 huu mkongo wa taifa wa mawasiliano je umeanza kutumika? Kama ndio kuna tofauti gan na mwanzo kabla haujaanza kutumika! Wanaofaham watujuze
huu mkongo wa taifa wa mawasiliano je umeanza kutumika? Kama ndio kuna tofauti gan na mwanzo kabla haujaanza kutumika! Wanaofaham watujuze
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Mar 26, 2013 #2 Unatumika sana tu. Spidi za mtandao zimeongezeka, bei za mtandao zimepungua.:rockon:
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,252 Mar 26, 2013 #3 Bei zimepungua ila tofauti na expectations zetu! Ilibidi zipungue chini zaidi