man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 345
- 85
Kwa kweli nikiwa kama kijana msomi wa elimu ya juu nilipendelea sera za ndugu edward lowasa kuhusu maendeleo ya elimu nchini pia nikampa na kura yangu sababu suala la kugharamia elimu ni tatizo kubwa kwa jamii nyingi nchini
Hapo hapo vyuoni tuna report oct 30 bodi ya mikopo mpaka sasa wapo kimya hivi kwanini Tanzania inaendeshwa na maamuzi ya wachache kiasi hiki?????
Mara nyingi unakuta mtu anasema nilikua na akiri ila wakunisomesha hakuwepo nadhani majuto kama haya yangekuwa ndoto kwa Tanzania
Namchukia sana huyu Mgombea wa chama tawala naimani hatoweza kutusaidia wana chuo na sera zake mbovu et "nitaleta meli mbili ziwa victoria" meli za nini wakati watu wanapenda kuwai kwa kutumia barabara ndo maana Mzee kingunge alimwita n Nyampara wa mabarabara
Sina imani na nchi yangu kabisa.