Mkombozi wetu mmemletea zengwe, tungesoma bure elimu ya juu

man of the year

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
345
85
Kwa kweli nikiwa kama kijana msomi wa elimu ya juu nilipendelea sera za ndugu edward lowasa kuhusu maendeleo ya elimu nchini pia nikampa na kura yangu sababu suala la kugharamia elimu ni tatizo kubwa kwa jamii nyingi nchini

Hapo hapo vyuoni tuna report oct 30 bodi ya mikopo mpaka sasa wapo kimya hivi kwanini Tanzania inaendeshwa na maamuzi ya wachache kiasi hiki?????

Mara nyingi unakuta mtu anasema nilikua na akiri ila wakunisomesha hakuwepo nadhani majuto kama haya yangekuwa ndoto kwa Tanzania

Namchukia sana huyu Mgombea wa chama tawala naimani hatoweza kutusaidia wana chuo na sera zake mbovu et "nitaleta meli mbili ziwa victoria" meli za nini wakati watu wanapenda kuwai kwa kutumia barabara ndo maana Mzee kingunge alimwita n Nyampara wa mabarabara

Sina imani na nchi yangu kabisa.
 
Tanzania kama big brother.

Kila mtu anafanya lile analoona sawa kichwani kwake.
 
Kwanza ww ni kilaza tu, kwani unaandika ujinga mtupu, watz wote tumepiga kura na uchaguzi wa wengi ndo huo, kama ww uliangalia faida yako peke yako-Lowasa. ila watz waliowengi waliona faida ya ujumla-Dr.Makufuli
 
Back
Top Bottom