Mkomaindo: Ni adha kusoma huko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkomaindo: Ni adha kusoma huko

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rainbow, Jan 14, 2009.

 1. Rainbow

  Rainbow Member

  #1
  Jan 14, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miaka kadhaa ya iliyopita, chuo cha uuguzi cha Mkomaindo, kilichopo Masasi, kilikuwa kikiheshimika sana. Lakini miaka ya hivi karibuni imekuwa ni adha kusoma huko.

  Wanafunzi wamekuwa wakitolewa darasani kwenda kusomba maji kwa ajili ya matumizi ya walimu wao, na wamekuwa wakiwafanyia kazi za nyumbani walimu hao.

  Je, hivi tutafika?
   
Loading...