monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,888
- 13,644
Nashukur Mkuu,lkn huo ndyo ukweli!UMEFANYA UCHAMBUZI MZURI MNOOO ASANTE KWA HII ELIMU """
Ukweli hauwezi kubadilika,huyo naye alikuwa na ambition zake kama mwanadamu wa kawaidaWatch ur tongue!!! Kwamb hayat baba wa taifa na waasisi wa bara letu walikua wakoloni weusi!!.
Nashukur kwa kunisahihisha Mkuu,lkn nadhani huyo David Diop anatokea Senegal (He is a Senegalese, but I am not so much sure with but I am just guessing)Mtoa post ebu rekebisha hapo hilo shairi la THE VULTURE limeandikwa na DAVID DIOP kutoka Nigeria kama sikosei.
ARMANDO GUEBUZA ameandika shairi linaitwa YOUR PAIN
hahaa ...kwahiyo jamaaa anapinga au "" wtu wengine bwana..hajui kuwa mchonga alimuweka ndani bibi titi na kumbambikia kesi ya uhaini ..kisa tu walipishana kimawazo ktik chama chao...Ukweli hauwezi kubadilika,huyo naye alikuwa na ambition zake kama mwanadamu wa kawaida
"Nimeota nchi fulani kuna vita"
Waliasisi kitu gani?Watch ur tongue!!! Kwamb hayat baba wa taifa na waasisi wa bara letu walikua wakoloni weusi!!.
Mchonga alikuwa akiwafunga kifungo cha nje wale wote aliotofautiana nao kimtazamo,mfano huko mkoani Dodoma aliibuka msomi mmoja enzi hizo so,mchonga akashikilia vyeti vya jamaa na akampeleka kijijini kwao na akamkabidhisha kwenye uongoz wa kijiji,then akatoa amri "m2 huyu asitoke nje ya kijiji hiki kamwe"hahaa ...kwahiyo jamaaa anapinga au "" wtu wengine bwana..hajui kuwa mchonga alimuweka ndani bibi titi na kumbambikia kesi ya uhaini ..kisa tu walipishana kimawazo ktik chama chao...
tatizo vijana hawataki kusoma historian wala kuuliza hivi vitu ""Mchonga alikuwa akiwafunga kifungo cha nje wale wote aliotofautiana nao kimtazamo,mfano huko mkoani Dodoma aliibuka msomi mmoja enzi hizo so,mchonga akashikilia vyeti vya jamaa na akampeleka kijijini kwao na akamkabidhisha kwenye uongoz wa kijiji,then akatoa amri "m2 huyu asitoke nje ya kijiji hiki kamwe"
Nimekupenda bure ungekuwa karibu ningekubeba mgongoni kwa umbali wowote ambao ungeutaka ww, ninge kununulia ma- apple na bia ya kusindikiza weekend!The Vultures
In that time
When civilization struck with insults
When holy water struck domesticated brows
The vultures built in the shadow of their claws
The bloody monument of the tutelary era
In that time
Laughter gasped its last in the metallic hell of roads
And the monotonous rhythm of Paternosters
Covered the groans on plantations run for profit
O sour memory of extorted kisses
Promises mutilated by machine-gun blasts
Strange men who were not men
You knew all the books you did not know love
Or the hands that fertilize the womb of the earth
The roots of our hands deep as revolt
Despite your hymns of pride among boneyards
Villages laid waste and Africa dismembered
Hope lived in us like a citadel
And from the mines of Swaziland to the heavy sweat of Europe’s factories
Spring will put on flesh under our steps of light.