Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,272
Mbona ametoa ghrama ndogo sana....huyo labda anaenda kutumia misoKuna dada nilidate nae miezi miine iliyopita, nililala nae maramoja tu na ilipasuka. Jana kaniambia ana mimba yangu na haitoi, nikakomaa aitoe. Akasema kuitoa ni gharama , nikamuuliza sh ngapi akasema tsh 80000. Nimetoka kutuma hata nusu saa haijafika, ni kweli hapa nimeshapigwa. Kudadaki sitaki tena hawa madem wakuokota
Nimejikuta nacheka kiboyaKuna dada nilidate nae miezi miine iliyopita, nililala nae maramoja tu na ilipasuka. Jana kaniambia ana mimba yangu na haitoi, nikakomaa aitoe. Akasema kuitoa ni gharama , nikamuuliza sh ngapi akasema tsh 80000. Nimetoka kutuma hata nusu saa haijafika, ni kweli hapa nimeshapigwa. Kudadaki sitaki tena hawa madem wakuokota
Katika mchezo huo mbona wanaume wengi tumepigwa!
Tukubali, wanawake kwa ujanja wa kupitia miili yao wanaume hatuoni ndani.
Hata Samson aliingizwa mjini na Delilah.
Akikutana na mabaharia wa kike ni 200000 kuendeleaHakuna mimba hapo na kila mtu ana dau lake huyo kaonewa huruma...
Mkuu,utaweza kukomaa hivi kama tu hauna mke. Lakini ukiwa umeoa na unahofu taarifa zisije kufika kwa mke utaitoa tu hiyo fedha ya kuwezesha mchakato kufanyika wala hautakuwa na hizo mbwembwe.
Sawa hamtaki kutoa pesa katika hali ya kawaidaMungu anakuona
Sijui kwanini gharama ya kutia mimba ni ndogo sana lakini ya kutoa ni kubwa
Alafu sisi wanaume tuache umalaya kama umeoa be contentedUnajua wengi wa wanawake wanajua hapo ndipo pa kuvuna fedha.
Kwanza wanaangalia status yako katika jamii kama vile
Sheikh
Mchungaji
Padre
Mkuu fulani katika serikali au shirika binafsi
Mme wa mtu mwenye heshima zake mtaani
Kwanza watataka kupiga picha na wewe usikubali tena ikiwezekana akiingia room mpokonye simu zima. Maana atatishia kuzisambaza ukigoma kutoa fedha.
Alafu sisi wanaume tuache umalaya kama umeoa be contented
Nyaka ni ileile style zile zile.
Harufu ya k ni ile ile
Huyo dada alikuwa mzembe, ningekuwa mimi ningesema siwezi kutoa mimba kizembe namna hiyo unataka nife mwenyewe humu guest? Lazima twende kwa mtaalamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu hadi anaamua kufanya hivyo unadhani anakuwa hajajipanga? Mimi binafsi hiyo biashara siiwezi maana kuongopa sijui kabisa ila wapo wanaoweza au unadhani ninyi tu ndio wenye akili?Wewe hujakutana na watu . Kwanza anakutolea maneno ya kukushtukia kwamba unataka kumla fedha ukishakereka utasusa alafu baharia atatoka na ushindi
Mtu hadi anaamua kufanya hivyo unadhani anakuwa hajajipanga? Mimi binafsi hiyo biashara siiwezi maana kuongopa sijui kabisa ila wapo wanaoweza au unadhani ninyi tu ndio wenye akili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua jamaa alishawahi kufanyiwa utapeli ndo maana akawa mjanja. Hapo mdada unaondoka na aibu ya hatari