Mkojo wa mjamzito: Biashara nyingine ya siri isiyojulikana na wengi

Kuna dada nilidate nae miezi miine iliyopita, nililala nae maramoja tu na ilipasuka. Jana kaniambia ana mimba yangu na haitoi, nikakomaa aitoe. Akasema kuitoa ni gharama , nikamuuliza sh ngapi akasema tsh 80000. Nimetoka kutuma hata nusu saa haijafika, ni kweli hapa nimeshapigwa. Kudadaki sitaki tena hawa madem wakuokota
Mbona ametoa ghrama ndogo sana....huyo labda anaenda kutumia miso
 
Kuna dada nilidate nae miezi miine iliyopita, nililala nae maramoja tu na ilipasuka. Jana kaniambia ana mimba yangu na haitoi, nikakomaa aitoe. Akasema kuitoa ni gharama , nikamuuliza sh ngapi akasema tsh 80000. Nimetoka kutuma hata nusu saa haijafika, ni kweli hapa nimeshapigwa. Kudadaki sitaki tena hawa madem wakuokota
Nimejikuta nacheka kiboya
 
Mkuu,utaweza kukomaa hivi kama tu hauna mke. Lakini ukiwa umeoa na unahofu taarifa zisije kufika kwa mke utaitoa tu hiyo fedha ya kuwezesha mchakato kufanyika wala hautakuwa na hizo mbwembwe.

Ndio mshahara wa dhambi huo. Kitendo cha dakika au saa moja kinakupukutisha mshahara wako karibia wote wakati umeacha uke ambao unajipimia tani yako wakati wote unaotaka
 
Nilimtumia Bahili Fulani picha ya UPT ya zamani..
kwa kweli alidhamini shindano bila ubishi.
 
Sijui kwanini gharama ya kutia mimba ni ndogo sana lakini ya kutoa ni kubwa

Unajua wengi wa wanawake wanajua hapo ndipo pa kuvuna fedha.
Kwanza wanaangalia status yako katika jamii kama vile
Sheikh
Mchungaji
Padre
Mkuu fulani katika serikali au shirika binafsi
Mme wa mtu mwenye heshima zake mtaani

Kwanza watataka kupiga picha na wewe usikubali tena ikiwezekana akiingia room mpokonye simu zima. Maana atatishia kuzisambaza ukigoma kutoa fedha.

Alafu sisi wanaume tuache umalaya kama umeoa be contented
Nyaka ni ileile style zile zile.
Harufu ya k ni ile ile
 
Wewe hujakutana na watu . Kwanza anakutolea maneno ya kukushtukia kwamba unataka kumla fedha ukishakereka utasusa alafu baharia atatoka na ushindi
Mtu hadi anaamua kufanya hivyo unadhani anakuwa hajajipanga? Mimi binafsi hiyo biashara siiwezi maana kuongopa sijui kabisa ila wapo wanaoweza au unadhani ninyi tu ndio wenye akili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ukiamua kutokuwa mwaminifu kwa mmeo kubali pia kupata hasara. Wapo wengine watanashati nje lakini akili zimeoza utajilaumu kwa kudhalilisha utu wako bure. Baki niia kuu
 
208 Reactions
Reply
Back
Top Bottom