Mkoa wenye mabingwa wa lugha na lafudhi Tanzania.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,298
Unapoongelea lafudhi ya kiswahili na baadhi ya misemo ya mtaani (japo si sana na kote) basi kwa Arusha kuna lafudhi nyingi.
kuanzia KIkatiti,maji ya chai,usa,tengeru mpaka kufika maeneo ya ngulelo,kimandolu watu wanalafudhi yao mchanganyiko wa kichaga na kimeru.
maeneo ya sekei hapo kuna kiarusha kwa mbali fulani hivi.
ukija mjini kati,ndovu pale,goliondoi kuna lafudhi yao kidogo ilotulia sababu ya mchanganyiko mkubwa wa watanzania na watu wa mataifa mengine.
ukiingia mitaa ya daraja mbili,ngarenaro na ungalimited dah.
utasikia lafudhi na maneno ya ajabu ambayo kama hukuzaliwa mjini basi utaishia kukodoa macho.
"NI AJE ARIFU,HAINA GWERAA MWANANGU YANI NI FULLY KINYULAA". . . . . . . .nanukuu
ukipita maeneo ya majengo kupita uwanja wa ndege hapo kisongo unakutana tena na lafudhi nyingine tofauti na za mwanzo.
ukiingia hapo karatu nako wanakalafudhi kao kazuri tu.
yote na yote vijana wa mji huu licha ya lugha na lafudhi za kiarusha bado wanagonga lugha kimataifa kwa fujo hadi wazungu wanainua mikono.
KARIBU
 
Dingii hii ndo gachuland
ariff,uku ni full laana
bablai,Niko fiade ya
Kijengejula apa
namelemeta kitag
ubavu chaliao
 
Mzee kumbe we ni wa fasi ya sekeii bablai 2020 nakuja gombea udiwani buda kura yako nisikose jombaa lai
 
Back
Top Bottom