Mkoa wa Tabora wafanya mandamano ya amani kupinga utoro kwa wanafunzi shuleni

Josephat Sanga

Senior Member
Aug 29, 2016
151
97
Siku ya jana tarehe 02/07/2017 mkoa wa Tabora pamoja na wilaya zake walifanya mandamano ya amani ambayo yaliwahusisha wanafunzi walimu pamoja na wazazi lengo la mandamano hayo ilikuwa ni kupinga idadi ya utoro kwa wanafunzi mashuleni

Tarifa mbali mbali ambazo zimekuwa zikitolewa kuhusiana na masuala ya elimu zimekuwa zikionyesha mkoa wa Tabora unaongoza kwa utoro wa wana7funzi mashuleni, pamoja na mimba za umri wa chini ya miaka kumi na nane.
 
Wanyamwezi wanaanza mapenzi wakiwa wadogo sana. At the age of 15yrs unamfundisha mtoto how to become a good wife unategemea nini.
IMG-20180703-WA0000.jpg
 
Yaani hapo ndipo kikomo cha uwezo wao wa kufikiria......
Ebu ngoja kwanza, yaani maandamano ya amani ndio utatuzi wa tatizo la utoro wa wanafunzi........
Mambo mengine huwa yakipuuzi sana wallah....
 
Wanyamwezi wanaanza mapenzi wakiwa wadogo sana.View attachment 801122
Huu ni udhalilishaji kwa watoto wa kike haki......
Yaani huu ni ushenzi ulio tukuka kumshikusha mtoto mdogo bango lenye maandishi ya kudhalilisha.
Ebu chukulia mfano hiyo picha hapo, itaishi milele. Na kumbuka binti atakapo kuwa mkubwa na akajitambua, kisha anakuja kuiona hiyo picha.... Unadhani atafurahia?
 
tz ni yetu sote tuilinde
 
IMG_20180702_112627.jpg
IMG_20180702_092001.jpg
IMG-20180703-WA0000.jpg
Wanafunzi kutoka shule mbali mbali mkoani Tabora wakiwa na mabango yenye Jumbe mbali mbali.
 
Back
Top Bottom