NECTA hutoa ufaulu kimikoa pia na mikoa inayofanya vizuri ni DSm, Arusha, Mwanza Kilimanjaro Iringa na KageraKwanza kabisa nitoe maana ya title hapo juu. Kuifanya mbeya kuwa workshop ya elimu ni kama kuufanya mkoa wa mbeya mfano wa kuigwa au sehemu ya kujifunzia kwa mikoa mingine
Kutokana na kiwango cha Elimu kwa huu mkoa wa Mbeya kuwa juu kila mwaka na kuwa constant kwa ufaulu bila kuyumba yumba tofauti na mikoa Kama ya Kilimanjaro, kagera na baba lao Dar es salaam ambayo kwa kipindi hiki huwa ni ina shuka na kupanda kwa maana haiko constant
Ni muda kwa serikali kuufanya mkoa wa mbeya kuwa WOKSHOP kwa mikoa mingine ili kukuza elimu ya Tanzania.
Mwaka huu topteni 10 ya wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa, wanafunzi 7 wametoka mbeya .......
Cheki orodha hapa chini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kisha toa maoni yako
View attachment 2082237
Title yako nilitegemea iwe SHULE ZA KIKATOLIKI/SEMINARY ziwe WORKSHOP ya Elimu nchini.Kwanza kabisa nitoe maana ya title hapo juu. Kuifanya mbeya kuwa workshop ya elimu ni kama kuufanya mkoa wa mbeya mfano wa kuigwa au sehemu ya kujifunzia kwa mikoa mingine
Kutokana na kiwango cha Elimu kwa huu mkoa wa Mbeya kuwa juu kila mwaka na kuwa constant kwa ufaulu bila kuyumba yumba tofauti na mikoa Kama ya Kilimanjaro, kagera na baba lao Dar es salaam ambayo kwa kipindi hiki huwa ni ina shuka na kupanda kwa maana haiko constant
Ni muda kwa serikali kuufanya mkoa wa mbeya kuwa WOKSHOP kwa mikoa mingine ili kukuza elimu ya Tanzania.
Mwaka huu topteni 10 ya wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa, wanafunzi 7 wametoka mbeya .......
Cheki orodha hapa chini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kisha toa maoni yako
View attachment 2082237
Ufaulu kwa upande wa mikoa huwa sio perfect Sana coz Kuna mikoa yenye shule nying kuliko mingine mfano mbeya, Kilimanjaro......ina shule nying kuliko kageraNECTA hutoa ufaulu kimikoa pia na mikoa inayofanya vizuri ni DSm, Arusha, Mwanza Kilimanjaro Iringa na Kagera
[emoji23][emoji23][emoji23]. Umejiongeza mkuu.....Title yako nilitegemea iwe SHULE ZA KIKATOLIKI/SEMINARY ziwe WORKSHOP ya Elimu nchini.
Siasa imekuja kuharibu kila kitu... Uyo mwamba wa Ilboru wamemuonea sana.Wavulana hoi...wavulana wa wazamani wasingekubali hii Hali ya udhalilishaji hivi,kweli zama zinabadilika.
Sahihi,huyo jamaa wa Ilboru ni mtu wa kazi, ni kuku halisi wa kienyeji kabisa...Namba 9 tu ndio mwamba hapo...ada elfu70 material ya kujitafutia.
Nashauri lifanyije jaribio fulani, utungwe mtihani hawa vipanga washindanishwe na wanafunzi waliofaulu kawaida kutoka shule nyingine tuone je watafaulu hivyo hivyo?Kwanza kabisa nitoe maana ya title hapo juu. Kuifanya mbeya kuwa workshop ya elimu ni kama kuufanya mkoa wa mbeya mfano wa kuigwa au sehemu ya kujifunzia kwa mikoa mingine