Humu hutopata jibu.
Unatakiwa ummulize Mungu ndie atakupa majibu sahihi.
Mji ulio na Makanisa mengi umebarikiwa. Mbeya imebarikiwa!!!! Ulitaka Mbeya uwe mji wenye BAR nyingi zaidi kuliko Makanisa na misikiti, kama ilivyo miji mingine????

mbona hilo ni jambo la kheri ni kumshukuru Mungu tu.