Mkoa wa Mbeya mtavurugwa

mbeya ni sehemu ya watu wote

Swala la tulia naona mnalipa promo kubwa kuliko ukubwa wake

Mbeya mjini kuna kitu kinaonyesha

Chadema walipata ubunge baada ya wananchi kumchoka alie kuwepo kwa kuwa alikosa mwelekeo sahihi wa kuwahudumia wananchi

aliepo saizi ni kuwa amekosa nguvu ya kiutendaji kwa kuwa ananyimwa ushirikiano na baadhi ya viongozi wa serikali waliopo mbeya

Lugha rahisi anahujumiwa

Tulia ndio anawatumia hao watu kumhujumu maana wao wanapewa maelekezo tu na kuyatimiza

wananchi wa mbeya huwa hawapendi vyama bali wanapenda mtu
 
Acha kuhubiri ukabila hapa jukwaani, watu wanachagua mbunge wamtakaye
 
Kwanini unaendekeza ukabila? Mbona hujauliza ubunge Wa zitto, Lema, mbowe? Hao wote mbona wanaongoza kwenye makabila yao?

Shida inakuja kwa Tulia?
Usituletee utanga wako wakupenda majungu. Mbeya hatujafikia huko wala hatujawa na ukabila kiasi hicho.
Na ujue kuwa tuna misimamo yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHADI JUMA,
Hiyo ya Tulia kuwa Spika nakubaliana nayo kwani ndio utaratibu wa CCM unavyotaka.......lakini kuwa Rais 2025 hizo ni chumvi tu zinaongezwa!
 
Hakuna mjinga Mbeya mkuu
Kwa mwelekeo huu wa tume yao,jeshi lao,ikulu yao inawezekana!msimpe sugu moyo mwambieni ukweli!!!Kama uchaguzi wa serekali za mitaa yametokea na hadi leo kimya!hakuna cha tume huru wala nini hapa!!!Upinzani utapotea tz kabisaaa!!!mark my words!!!Utakuwepo moyoni lakini haupo kwenye system ni kazi bure kabisa!!!!
 
Mbeya sidhani kama ni wapumbavu kama Tulia anavyotaka kuwaaminisha watu wa CCM kuwa Mbeya ni wajinga hivyo anawaweza kwa hadaa zake?
Jee ni kweli Mbeya ni wajinga?
Nawasifu sana Wachagga
Moshi mjini Ccm hupeleka pesa na zinaliwa kweli kweli, na kipindi cha kampeni utaona kabisa Ccm ina shinda. Lakini siku ya kura ina kuwa ni kilio kwa Ccm.. Mama Minde na Mosha wanajua yaliyo wakuta.
Nawashauri na Wana Mbeya Tulia akileta pesa kuleni hasa mkizingtia ajira sasa ni ngumu. Kuleni ila sanduku la kura liwaonyeshe kwamba nyie sio wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mwanasiasa bali ni mtumishi hapa Mbeya. Nimekuja mbeya sasa ni mwaka wa 4. Kuna jambo linaendelea mbeya na wao hawataki kulikemea.

Mkoa wa Mbeya wasipoangalia kufikia mwaka 2025 watatawaliwa na wanyakyusa. Nikupe takwimu Mbunge wa Chunya, Kyela, Rungwe na Busokelo ni Wanyakyusa. Mbeya Mjini, Mbalali na Mbeya vijijini si Wanyakyusa. Mwaka huu nilikutana na rafiki yangu jana Uyole akaniambia mjini wameshakaa lazima Tulia ashinde na sasa wanaangalia kati ya Mbalali na Mbeya vijijini nako wawe na mtu wao mwenye asili ya unyakyusa.

Aliniambia eti Rais amesema Tulia atakuwa Spika na 2025 ndiye atakuwa Rais. Mkakati wa kufanikisha Wanyakyusa eti unaratibiwa na wafanyabiashara wakubwa wa kinyakyusa.

Ombi langu kwa watu wa Mbeya kama mmemchoka Sugu tafuteni mtu mwingine. Tulia atawapeleka jehanamu. Hivi hamujiulizi anatoa wapi hela zote anazotoa kila siku ambazo hazifanani na mshahara wake? Hamjui kama anatumia ofisi yake vibaya kuomba mahela kwa wafanyabiashara ili kuja kuwanunua? Anaposema atakuwa Spika kwani Ndugai hagombei?

Sisi Tanga tunampenda Ummy lakini hajatuhonga ila matendo yake yanatufanya hata wapinzani tumpende.
Ukabila hautakiwi, ACHA FIKRA POTOFU.
 
Kwa mwelekeo huu wa tume yao,jeshi lao,ikulu yao inawezekana!msimpe sugu moyo mwambieni ukweli!!!Kama uchaguzi wa serekali za mitaa yametokea na hadi leo kimya!hakuna cha tume huru wala nini hapa!!!Upinzani utapotea tz kabisaaa!!!mark my words!!!Utakuwepo moyoni lakini haupo kwenye system ni kazi bure kabisa!!!!
Kila siku siyo jumapili mkuu , kuondoka kwetu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ilikuwa ni kutengeneza ushahidi wa kujiondoa kwenye lawama kwa yatakayotokea kwenye uchaguzi mkuu ( nakufichulia siri kidogo tu )
 
Mimi sio mwanasiasa bali ni mtumishi hapa Mbeya. Nimekuja mbeya sasa ni mwaka wa 4. Kuna jambo linaendelea mbeya na wao hawataki kulikemea.

Mkoa wa Mbeya wasipoangalia kufikia mwaka 2025 watatawaliwa na wanyakyusa. Nikupe takwimu Mbunge wa Chunya, Kyela, Rungwe na Busokelo ni Wanyakyusa. Mbeya Mjini, Mbalali na Mbeya vijijini si Wanyakyusa. Mwaka huu nilikutana na rafiki yangu jana Uyole akaniambia mjini wameshakaa lazima Tulia ashinde na sasa wanaangalia kati ya Mbalali na Mbeya vijijini nako wawe na mtu wao mwenye asili ya unyakyusa.

Aliniambia eti Rais amesema Tulia atakuwa Spika na 2025 ndiye atakuwa Rais. Mkakati wa kufanikisha Wanyakyusa eti unaratibiwa na wafanyabiashara wakubwa wa kinyakyusa.

Ombi langu kwa watu wa Mbeya kama mmemchoka Sugu tafuteni mtu mwingine. Tulia atawapeleka jehanamu. Hivi hamujiulizi anatoa wapi hela zote anazotoa kila siku ambazo hazifanani na mshahara wake? Hamjui kama anatumia ofisi yake vibaya kuomba mahela kwa wafanyabiashara ili kuja kuwanunua? Anaposema atakuwa Spika kwani Ndugai hagombei?

Sisi Tanga tunampenda Ummy lakini hajatuhonga ila matendo yake yanatufanya hata wapinzani tumpende.
Hahahahahaaaaa

Mh Sugu umeanza kumhofia naibu spika hadi unainfluence ukabila!!

Hivi mkuu unajua kuwa umeandika taka taka sana. Ebu tulia kwanza halafu urudie tena kusoma ulichokiandika, nafikiri utaamua tu, kama sio kuomba mods wakupige ban basi utafuta tu ulichokiandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mwanasiasa bali ni mtumishi hapa Mbeya. Nimekuja mbeya sasa ni mwaka wa 4. Kuna jambo linaendelea mbeya na wao hawataki kulikemea.

Mkoa wa Mbeya wasipoangalia kufikia mwaka 2025 watatawaliwa na wanyakyusa. Nikupe takwimu Mbunge wa Chunya, Kyela, Rungwe na Busokelo ni Wanyakyusa. Mbeya Mjini, Mbalali na Mbeya vijijini si Wanyakyusa. Mwaka huu nilikutana na rafiki yangu jana Uyole akaniambia mjini wameshakaa lazima Tulia ashinde na sasa wanaangalia kati ya Mbalali na Mbeya vijijini nako wawe na mtu wao mwenye asili ya unyakyusa.

Aliniambia eti Rais amesema Tulia atakuwa Spika na 2025 ndiye atakuwa Rais. Mkakati wa kufanikisha Wanyakyusa eti unaratibiwa na wafanyabiashara wakubwa wa kinyakyusa.

Ombi langu kwa watu wa Mbeya kama mmemchoka Sugu tafuteni mtu mwingine. Tulia atawapeleka jehanamu. Hivi hamujiulizi anatoa wapi hela zote anazotoa kila siku ambazo hazifanani na mshahara wake? Hamjui kama anatumia ofisi yake vibaya kuomba mahela kwa wafanyabiashara ili kuja kuwanunua? Anaposema atakuwa Spika kwani Ndugai hagombei?

Sisi Tanga tunampenda Ummy lakini hajatuhonga ila matendo yake yanatufanya hata wapinzani tumpende.
Hili jukwaa limepoteza mwelekeo kwa kuwa na takataka nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom