Mkoa wa Arusha hali ni mbaya


Pumbavu kabisa huyu jamaa analeta habari za kichochezii..
Kasahau kua baadhi yetu pia tupo Arusha..
 
Tatizo uelewa wako ni wachini Sana hata nikiongee na ww mpaka kesho, hatutaelewana.
Shida niionayo kwa wengi humu ni kuwa wengi wenu uelewa wa wengine mnaupima kwa eidha kukubaliana au kutokubaliana na wewe.... MTU akikuunga mkono ukisemacho, kwako ina maana MTU HUYO ana uelewa mkubwa, na akikupinga unamtazama kuwa ana uelewa mdogo.... !!! MAKOSA haya mnafanya.... Sometimes kukuunga mkono ni kuongeza idadi ya wasio na uelewa au wenye uelewa mdogo...
 

Bias?? vipi ile kauli ya kwamba kuhusu suala la maendeleo kaskazini wasubiri kwanza, nadhani ndilo linatekelezwa.
 
Hiyo ni Arusha ya wapi? ee maeneo gani..
 
We ni muongo na mnafiki sana,we ni msukuma ndugu yake dikteta hivyo huwezi sifia ya arusha wakati nyinyi wasukuma mnawaona wachaga maadui,
Msomi gani usiyejielewa umekaria kulamba matako ya wakubwa ili angalau uteuliwe, wewe Mayalla huna tofauti na Msiba.
 
Pumbavu kabisa huyu jamaa analeta habari za kichochezii..
Kasahau kua baadhi yetu pia tupo Arusha..
We utakuwa sio mzawa ni muamiaji, so huna uchungu hata watu wa Arusha,wakiteseka kwako Sawa.
 
Arusha sio ya wachagga ni waarusha, Wameru na wamasai.. Wachagga waamiagi tu na niwachache Sana kuliko wenyeji au wazawa
 
Mkuu umenena lkn mbona Tunduru barabara iko nzuri tu, hata ile inayotokea Masasi mjini
Tatizo lake wala siyo kutaka barabara nzuri,ni hizo mbwembwe zake za sijui utalii !hii nchi yote ni utalii mtupu hatupaswi kuwapa kipaumbele eti kwa sababu hiyo.
Kila mahali pana umuhimu wake,mkuu.
 
Unajua gharama ya ujenzi wa barabara kwa kilometa 1 ni sh ngapi mkuu, ni zaidi ya bilioni moja hivyo sidhani kama unavyosema mfuko wa jimbo ungetosha pia kuhusu kifusi si dhani kwa hadhi ya barabara hizo zingefaa kumwagwa kifusi zaidi ya kuwekwa lami.
Inaonekana unataka kumhusisha mbunge moja kwa moja na ubovu wa barabara maana ulivyosema kuwa wana Arusha wasifanye makosa kipindi kijacho yaani wamhukumu mbunge kutokana na ubovu wa barabara.
Ulikuwa na uhakika gani kuwa mbunge Lema hakuiwakilisha barabara hiyo kwenye vyombo vinavyo husika? Kwanini hukuilaumu serikali kuu kwa kuisahau Arusha kisa tu imechagua upinzani na badala yake umetaka mbunge aonekane kuwa ana makosa.
Kwa umuhimu wa mji wa Arusha haswa kwa uchumi wa Tanzania sidhani kama ilipaswa kuwa na barabara mbovu kama hiyo hivyo ushauri wangu ni kwa mamlaka zinazo husika kama Tanroads na nyingine zifuatilie kwa undani tatizo hili.
 
Wewe utakuwa huijui arusha vizuri umefika siku moja ukachukua batrabara za mtaa mmoja halafu unalinganisha jiji zima. Kwa kweli penye ukweli tuseme, jiji la arusha limejitahidi kuboresha miundombinu na linaendelea kuboresha sehemu chache zilizobaki
QUOTE]
We utakuwa sio mzawa ni muamiaji, so huna uchungu hata watu wa Arusha,wakiteseka kwako Sawa.
 
QUOTE]
We utakuwa sio mzawa ni muamiaji, so huna uchungu hata watu wa Arusha,wakiteseka kwako Sawa.
 
Mtalii afuate nini huko masinoni. Kama mbunge meya na madiwani wenu mnawaacha kushughulika na ngonjera za za siasa wakitafuata kujinusuru na wimbi linalokuja kuwaondoa hiyo ni juu yenu
 
Hizo barabara unazotaja ni project iliyoanza kipindi cha Kikwete,na imejengwa na Nchi za East Africa na Sio fedha za serikali hii ya awamu ya tano.
Huna akili kweli wewe barabara za mji mdogo wa ngaramtoni na za jiji la Arusha zimeanza kujengwa 2016 na zipo kwenye ilani ya chama cha mapinduzi ya 2015,Jumuiya ya afrika mashariki imetoka wapi apo kikwete anahusikaje na barabara za 2016?,kama hujui unacho ongea bora ukae kimya.
 
Tuache tuendelee kuteka na kutesa wapinzani kwanza swala la maendeleo mpaka wapinzani waishe
 
We ndio ujui na ukae kimya na siasa zako, nyepesi.. Ambu niambie ni lini Bunge ilipitisha hiyo burget ya barabara ya ngaramtoni, awamu ya tano.

We Kawadanganye watanzania waginga ila sio Mimi, huna akili ww ni ushabiki umekujaa kwenye siasa kama unashabikia timu ya mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…