Mkoa wa Arusha hali ni mbaya

"Hatutapeleka maendeleo kwenye majimbo yanayo ongozwa na upinzani" - Heri James , 2018. M/kiti UVCCM.
 
Ata Elimu huna kabisa..Ebu nipe bajeti ya Mbunge ya kujenga bara bara?
Hivi Mbunge ndiyo TANROAD siku hizi.?Unatuambia tulifanya makosa..kumchagua huyu Mbunge,vipi nyie mliemchagua au kwenye majimbo yenu ya CCM kila kitu kipo shwali? Umeonyesha udhaifu sana...sikutegemea mkongwe kama wewe uandike vitu vya hovyo kabisa..Kwahiyo unatuaminisha kua bara bara azigengwi kisa ni jimbo la mpinzani..
SHAME
 
Kumbe mikoa mingine haina mchango wowote nchini sio?
 

Nimesoma comment yako nikaona wewe ndo mjinga, Ametaja umuhimu wa mkoa arusha katika taifa kuwa wenye fursa za kitalii na makao makuu ya Afrika Mashariki, sijaona akitaja kaskazini kama ulivyokurupuka, wewe taja mkoa wenu na shida zake, hapa hapatajwa ukanda bali mkoa mmoja tu, inawezekana hata aliyepost siyo mwenyeji wa arusha bali mtanzania mwenye akili. ukimaliza kutaja mkoa wenu na shida zake waambie watanzania umuhimu wa airport chato kisha tuone kama hiyo gharama isingeweza kusaidia kurekebisha miundombinu arusha na bwawa la dar ili kuchochea maendeleo katika nchi, kisha utaelewa kwanini amesema fursa imepokonywa.
 
Honestly from his comment I think you are very right..... now I'll have to read between lines in whatever he post and probably not to take his political analysis seriously if at all he is influenced with one of the team in the game[emoji22]
I swear you don't know him, huyu ni mmoja wao sema anang'ata na kupuliza.
 
Barabara ya White Rose, Mianzini, Really? Mtalii Afuate Nini Huko?
Kwani ni wao Mkuu, ni Madereva.

Hata mimi niiwahi kujiuiza siku moja baada ya kuona Gari la Watalii likikatiza hii mitaa, nikaona kama hawa Madereva wawe wanapewa semina ya uzaendo.
 
Maendeleo ya nchi yanaletwa na vyama pinzani au chama kilicho madarakani????
Ungejua mkoa wa arusha jinsi unavyoingizia pesa taifa unajua mamlaka ya ngorongoro ndiyo inayoongoza kwa kuingizia pato taifa?ÑADHANI NI WAKATI SASA WA SERIKALI ZA MAJIMBO HALAFU TUTAONA KAMA DODOMA YAKO HAWATAKUFA NJAA
 
Pita barabara inayopanda Triple A upandishe kama unaenda sakinia ya juu. Ujionee maporomoko barabarani
 
Huko kwenye wabunge mawaziri wa ccm hali ikoje mkuu? Hebu tupe darasa iili ikibidi mwakani tumpigie magoti ole sendeka atuwakilishe huku tukimuombea apate japo kauwaziri ka njia na mifereji mijini mkuu!! Labda kama unamaanisha mbunge wa huko hafai kutokana na kabila lake!! Labda mungetuletea mskm pangekuwa paradiso!
 

Unaweza ukawa na hoja lakini umekuja kishabiki maandazi zaidi..
Sisi tulioko Arusha ndio tunapaswa tutoe hali halisi sio wewe na mtoa mada mnajaribu kupotosha kilichopo kwenye ground..

Sehemu zote za nchi kulikopata mvua miundombinu imeharibika kiasi chake.
Ni sawa nianze kutoa lawama kwenye barabara ya Old bagamoyo road sababu imeharibiwa na mvua zinazoendelea
Itakua niujuha wahali ya juu..acheni ushabiki
 
Achana na mimi mpumbavu wew
Kwanza sikukujibu wew. Kwa hiyo Mbeya yenyewe haina umuhimu ktk nchi hii na inatoa mchele ilhali barabara zake si za kuridhisha. Mtwara je inayotoa korosho, na Geita inayotoa dhahabu. Mbona karibu nchi nzima kuna changamoto ya barabara. Eti maendeleo yanatolewa Arusha kupelelwa kwingine..mnaumwa nnyaa. Angesema Arusha kuna barabara mbovu na serikali ishughulikie hilo bila kuongea upimbi wa ukanda angepungukiwa nin we pongoo?
 
Hawa wazungu wakishatoka sehemu mbali, wakirudi mjini huzunguka mjini.. Au unafikiri wakisharudi wanalala hotel na kisha kurudi kwao..
Utalii nyinyi mnafikiri ni kuona wanyama na mlima tu!? Hata barabara zenye mashimo na mito inayo tiririka katikati ni vivutio tosha msiitengeneze
 

Haya mpumbavu mwenzangu, mimi nadhani ungeongelea tu mchele ndo unachojua.
 
mkuu alishasema kaskazini sio chaguo lake, wakae chonjo !
nawashauri wakaskazini kama vipi mjiunge tu na Kenya mpaka yule anayechukia nyinyi kuendelea ang'atuliwe.
 
Haya mpumbavu mwenzangu, mimi nadhani ungeongelea tu mchele ndo unachojua.
Watu wenye ukanda vichwani mwao wakati sisi sote ni taifa moja hua nawaona ni wapumbavu. Hasa hasa baadhi ya watu wa Arusha na Moshi sijui wameitoa wapi hii kasumba wakati wengi wao ni wastaarabu, wenye elimu na mafanikio makubwa.
 
Tatizo sio ukanda wala nini.Miondombinu ya miji mikoa mbali mbali zina hali mbaya.Ningeshauri baadhi ya mapato muhimu kama ya majengo na vyanzo vingine vilejeshwe halmashauri ili zipate mapato yakutosha kuhudumia huduma muhimu za wananchi kama miondombinu .Visingiziyo eti makusanyo yanatumika vibaya sio sababu kwa kuwa wapo wakaguzi wa mahesabu wa kutosha wakufanya kazi hiyo,wakiiba washitakiwe.
 
Binadam ni kiumbe wa ajabu sana.
Mimi binafsi nimekuwa nikipita arusha mara nyingi tu na kila nikipita ninakuta mabadiliko makubwa ya infrastructure. Arusha ya sasa ni tofauti kabisa na Arusha ya mwaka juzi. Natambua kwamba kuna matatizo mengi hasa kwenye vitongoji, lakini hayo yote hayawezi tatuliwa overnght.
 


Hivi mbunge wao siyo Lema, anasahau majukumu yake kijimbo, anatafuta visa bungeni ili apigiwe makofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…