Boflo kama kungekuwa na kukata rufaa basi ningekata rufaa urudishe avatar yako kama. Mtaa wa Bondeni karibu na Mgahawa mmoja maarufu sana unaitwa City Centre kwa hapa kwetu R'Chuga tehe tehe.
Mkuu kuna majukwaa tofauti mengi tu humu.. Kama unaona humu hakukufai unapotezea tu na kuhamia jukwaa jingine.. Kutukana maana yake una tabia ya umimi..