Mkoa gani hautamani kuishi hapa Tanzania?

Mbeya, Arusha, Mara, kilimanjaro, njombe, na Iringa ni mikoa ya kipumbavu na always wananchi wake wote wa hiyo mikoa ni wapumbavu na wamelaaniwa kuna baadhhi
Kuna Mikoa kiukweli Mimi ukiniambia nikaoshi ni kama umenipa adhabu kubwa... Mikoa ambayo sitamani kabisa kuishi ni

Dsm-Watu wengi,Kila sehemu Kuna nuka,uswazi,no space na prone Kwa Magonjwa kama kipindupindu nk
Mvua kidogo tuu inakuwa ni mafuriko,joto na jasho mda wote nk nk.

Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Hii shida kubwa ni zile zile watu wamerundikana kama Dar , umaskini uliotopea na mbaya zaidi Magonjwa ya Kansa ndio kwao.

Mwisho ni Wilaya za Makete,Longido,Simanjiro,Kondoa,Bahi,Ulanga na Mwanga.Hizi Wilaya maisha maisha hatari.
 
Kuna Mikoa kiukweli Mimi ukiniambia nikaoshi ni kama umenipa adhabu kubwa. Mikoa ambayo sitamani kabisa kuishi ni

Dsm-Watu wengi,Kila sehemu Kuna nuka,uswazi, no space na prone kwa Magonjwa kama kipindupindu n.k
mvua kidogo tu inakuwa ni mafuriko,joto na jasho mda wote nk nk.

Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Hii shida kubwa ni zile zile watu wamerundikana kama Dar, umaskini uliotopea na mbaya zaidi Magonjwa ya Kansa ndio kwao.

Mwisho ni Wilaya za Makete, Longido, Simanjiro, Kondoa, Bahi, Ulanga na Mwanga. Hizi Wilaya maisha maisha hatari.
Wilaya ya Kondoa inashida gani kwani....😀😀
fast facts-Kondoa iligawanywa kuwa wilaya mbili na halmashauri tatu i.e. Kondoa TC,Kondoa DC na Chemba .Wilaya ya Kondoa inapakana na Mkoa wa Manyara.. kijiografia,mazingira na hali ya hewa vinafanana sana ukifika Babati,Galapo upande wa Manyara na Kolo upande wa Kondoa huoni tofauti yoyote ya mazingira na hali ya hewa.

Natamani mtoa mada uniambie sababu zako hasa za kuitaja Kondoa kwenye list yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom